Kongosho:Am so down for you

Kongosho:Am so down for you

hehehe kumbee?? Atakuwa anawahi cha asubuhi tu huyu.
Hahahahaha, Deskmate njo ujibu hapa tafadhali. lolest

to be honest am ready to wait!yani am so down for her/him.
Atakuja tu... ila akija anaweza kuuliza ni kipi hasa kimekuangusha, bora uanze kupanga maneno yako.
Andaa na kashahiri, nadhani yuko sensitive kwa mistari ya kutulia... quality matters maana na yeye si mdogo.
 
Hahahahaha, Deskmate njo ujibu hapa tafadhali. lolest

Atakuja tu... ila akija anaweza kuuliza ni kipi hasa kimekuangusha, bora uanze kupanga maneno yako.
Andaa na kashahiri, nadhani yuko sensitive kwa mistari ya kutulia... quality matters maana na yeye si mdogo.

kwenye shairi wala sina tabu nitacopy and paste ile ya klorokwini.
 
Its of my benefit kama unaitumia bila kuijua. So usinipe nchi lol
:thinking:... ok!
Usiku mwem Deskmate, hata mimi nalala kwanza, leo itakua siku ndefu, si unajua ni besdei ya babu yetu Aspirin?
 
Ilitinga tu, haikunyesha lakini. Itakua ni yule mama mchawi jirani yetu alitaka kutuma radi.
vipi, Deskmate alimtaja alie muandikia shahiri?

hajamtaja ni wewe nini?
 
Back
Top Bottom