KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
mwenzako keshakujibia
eeh mwenzangu tena?kumbe yupo ...
mwenzako keshakujibia
1.I would never wanna meet him
2.He's not even worth my slap
3.Even if i slapped him he would never change
and many other more.
frankly speakin huwa sielewag, ni kwamba jf members wako nchi tofaut tofaut afu tunapishana masaa au?? inakuwaje saa nane usiku au saa kumi uko watu hawajalala duh!!!! labda nisaidiwe huwa sielewagii??Hello Lizzy, Kabakabana and jmushi1
Hamlali, leo nitawalaza mwenyewe.
frankly speakin huwa sielewag, ni kwamba jf members wako nchi tofaut tofaut afu tunapishana masaa au?? inakuwaje saa nane usiku au saa kumi uko watu hawajalala duh!!!! labda nisaidiwe huwa sielewagii??

wewe ni He au she?Kudondokewa raha ila inaleta aibu.
Si unajua kumeki hedilains napo kama hujazoea unaona noma.
Nasomea uvunguni, ila tabasamu hadi maskioni.
wewe ni He au she?
frankly speakin huwa sielewag, ni kwamba jf members wako nchi tofaut tofaut afu tunapishana masaa au?? inakuwaje saa nane usiku au saa kumi uko watu hawajalala duh!!!! labda nisaidiwe huwa sielewagii??
hahaha asante mkuu nimekupata vizuri ss.yes kwenye red..time za jf ni local(au central african time)members wa marekani,china,australia etc wako tofauti sana na bongo kimasaa lakini haiondoi ukweli kuwa kuna watu humu jf hawalali(wapo hapahapa bongo)especially wwale wenye hulka ya mabishano...you konw what i mean lady.
alla kumbe he he he!!!!!!!! tunapishana masaa na wao magap vile??Kabakabana yuko Tokyo
sawa mkuu!!!!Usijaribu kuelewa kila kitu
Kama hakikudhuru, kichukulie kama kilivyo.
Kabakabana yuko Tokyo