Kongamano la Mwl Nyerere Nkrumah Hall: Esther Wasira awagusa wengi!

Ameanza Jerry silaa.. simuelewi

Utamuelewaje iwapo ndiyo wale Esther ametoka kuwasema -- kujipa ufahari? Wakati manispaa yake inanuka kwa uchafu (angalia Ilala sokoni etc) yeye anapamba traffic roundabout za Uhindini, na kuweka mabango makubwa katikati lenye picha yake na maamdishi yakesema amedhamiria kuboresha halamashauri hiyo. Kuboresha kwa kupamba roundabout za Uhindini?

huyu ni mbinafsi sana!
 
Huyo dogo meya wa Ilala anasema eti Mwl Nyerere alitaka kung'atuka mwaka 1980 akakataliwa, siasa za Tanzania bana uongo mtupu.
 
esther ni haki kuwa ktk chama sahihi kwa wakati sahihi,tunaomba chama kimtumie kama resource mhm kama alivyosema m4c ni namna nzuri ya kujenga chama,we need her on site!
 
Jerry silaa anaonyesha uelewa zaidi kwa kujikita ktk mada, anazungumzia nafasi ya vijana ktk kumuenzi Mwl. Nyerere! Safi sana sio Esther anafanya siasa ktk kujadili mambo ya msingi.
Roho inakuuma kwakuwa her speech was so powerful na imewaumiza sana ccm
 
Jerry Silaa ni mchapa kazi, Ilala watamkumbuka, Jiji hili ni gumu, ila huyu kaka ni mgumu sana, na unyenyekevu wake unamsaidia.

Anaongea toka myoni,
Japo Esther aliongea vizuri na kulianzisha, Huyu Meya ni kiongozi mzuri sana ambae namuamini kazi yake.
Kwa hawa wawili kwa sasa najivunia kusoma kile chuo miaka ile
 
Utamuelewaje iwapo ndiyo wale Esther ametoka kuwasema -- kujipa ufahari? Wakati manispaa yake inanuka kwa uchafu (angalia Ilala sokoni etc) yeye anapamba traffic roundabout za Uhindini, na kuweka mabango makubwa katikati lenye picha yake na maamdishi yakesema amedhamiria kuboresha halamashauri hiyo. Kuboresha kwa kupamba roundabout za Uhindini?

huyu ni mbinafsi sana!

Nami nilikuwa naijiuliza: nini maana ya mabango ya picha yake pale? halafu si huyu alitajwa kugawa fweza kwa wajumbe wa chama chake kule Iringa? Na yeye mwenyewe kuukwaa Umeya wa Ilala, hakutumia fweza kweli kupata uteuzi wa chama chake?
 
Eti vijana wasiandamane mawazo ya kizee. Hao waliompinga ester huyu anaongea mada:)
 
Back
Top Bottom