Kongamano la Mwl Nyerere Nkrumah Hall: Esther Wasira awagusa wengi!

That was just side A of Mwalimu Nyerere,will you plese tell us his sibe B? Kwangu mimi, nadhani itakuwa bora zaidi tukijua na makosa aliyofanya na yalivyosababisha asifikie ndoto zake.Naamini hakuna mtakatifu duniani ambaye hakuwahi kufanya dhambi yoyote. Nianze na vile alivyoshindwa kuwaondoa kwenye mfumo wa uongozi watu walioharibu kazi na badala yake akawa anawahamisha toka idara au shirika moja kwenda lingine na hivyo idara na mashirika kadhaa yakafa. Kwahili napendekeza anayeharibu aondolewe mara moja na ikibidi ashitakiwe (kiutendaji na si kisiasa)kulipia gharama za uharibifu wake.Kwa kufanya hivyo nchi itaendelea. Speech ya Esther ni nzuri.
 
Huyu dada ni mdogo sana sidhani kama ana zaidi ya miaka 24 na pia ndio amemaliza masomo, kusema aonyeshe track record una maanisha nini?

Ninamaanisha kuwa muanze kufanya kazi na kuwa na traki rekodi. Sio mtu apewe ubunge kwa sababu anajua kulongalonga.
 
That was just side A of Mwalimu Nyerere,will you plese tell us his sibe B? Kwangu mimi, nadhani itakuwa bora zaidi tukijua na makosa aliyofanya na yalivyosababisha asifikie ndoto zake.Naamini hakuna mtakatifu duniani ambaye hakuwahi kufanya dhambi yoyote. Nianze na vile alivyoshindwa kuwaondoa kwenye mfumo wa uongozi watu walioharibu kazi na badala yake akawa anawahamisha toka idara au shirika moja kwenda lingine na hivyo idara na mashirika kadhaa yakafa. Kwahili napendekeza anayeharibu aondolewe mara moja na ikibidi ashitakiwe (kiutendaji na si kisiasa)kulipia gharama za uharibifu wake.Kwa kufanya hivyo nchi itaendelea. Speech ya Esther ni nzuri.
Marehemu huwa anazikwa na mabaya yake na mazuri yanabaki duniani ndio maana yanasemwa
 
SAWA esther umesomeka,acha kutoka povu jingi ivo,dk mwenye masilaha keshakuskia,keshakuona
subiri ubunge wa viti maalum nafas yako keshakuwekea,,ila angalizo kwako umeolewa???mana mwenzio yupo ktk harakati za kumtafuta first lady wake atakaeingia nae ikulu 2015 mana anasema yule girlfriend dada josephine keshachoka sana,anahitaji dogo dogo mh rais wangu mtarajaiwa:eyebrows:
 
nasikitika hakukuwa na mwakilishi wa Radio Imam na mwakilishi wa Sheikh Ponda au Ponda mwenyewe ili watumie uhuru wa o wa mawazo kutoa mawazo hasi ya kazi za Mwl Nyerere. kama binadamu alikuwa na mapungufu yake, hao waote wameongelea Positives tu na kina Ponda wangekuwepo wangeongelea Negatives tu ili mambo ya-balance.
 
Kuna watu roho zinawauma wakisikia Nyerere sifa zinaimbwa kila ukicha.
Wenye kuimba hizo sifa wanatumia hiari yao, muda wao na hata resources.
Mie naona wanazo hoja za msingi.
Ukizingatia kuwa mtu mwenyewe, hata kabla hajafa alisema 'YALE YA OVYO TEAM YAKE ILIOFANYA MSIYAENDELEZE, ILA MAZURI NA YA MSINGI YAKO MENGI MUYAENDELEZE, SIO KINYUME'
yani alijua anayomapungufu, ila alituasa tuyaache, offcourse tuyaache kwa kujulishana,
mfano huo hapo juu wa kuwahamisha viongozi waliokosea, sasa basi tuache, kama tumejua n vibaya, mbona tunaimba tu lakini tunaendelea???
kumuenzi sio kumuenzi KILA kitu ila kuenzi yale mazuri yake ambayo ni ajabu jinsi yalivyo mengi.

Wanaweza kujitokeza watu wakaanza kusisoma fikra za Jumbe, Mwinyi, Mkapa, Lowasa, nk na kuanza utaratibu wa kuzielezea na kuzienzi,

mmi napendekeza kama tunaweza kila mkereketwa atoe historia yenye ushahidi wa kutosha, tutengeneze kama KITABU CHA HISTORIA YA MASHUJAA WA TANGANYIKA/ZANZIBAR na TANZANIA,
kisiwe na mwandishi mmoja, kila mtu aweke anachojua kuhusu mtu fulani alietoa mchango kwa nchi yetu. LAbda kipo kitabu cha hivyo?
 
ur right
 
SAWA esther umesomeka,acha kutoka povu jingi ivo,dk mwenye masilaha keshakuskia,keshakuona
subiri ubunge wa viti maalum nafas yako keshakuwekea,,ila angalizo kwako umeolewa???mana mwenzio yupo ktk harakati za kumtafuta first lady wake atakaeingia nae ikulu 2015 mana anasema yule girlfriend dada josephine keshachoka sana,anahitaji dogo dogo mh rais wangu mtarajaiwa:eyebrows:
hivi nawe,great thinker
 
Safi sana Esther nimekukubali na hasa pale unapotokea kwenye familia zilizokuwa ndani ya siasa
muda mrefu lakini umekuwa na mtizamo wa kipekee unaotakiwa usimamiwe na kijana
mwelewa toka familia ambayo haijawahi kujihusisha na mambo ya siasa na hasa familia ya kimaskini.
Mimi niko na wewe na kam upo CHADEMA basi hujakosea uko mahala pake kulingana na ALAMA za nyakati.
Nikushukuru tena kwa SOMO lako zuri kwa sisi vijana.
Tunaahidi kwa kufanyia kazi ushauri wako hasa nikianza mimi na marafiki zangu vijana.
 
Umesema kweli vijana tu play our part,nchi itakuwa mikononi mwetu 2015
 
nasikitika hakukuwa na mwakilishi wa Radio Imam na mwakilishi wa Sheikh Ponda au Ponda mwenyewe ili watumie uhuru wa o wa mawazo kutoa mawazo hasi ya kazi za Mwl Nyerere. kama binadamu alikuwa na mapungufu yake, hao waote wameongelea Positives tu na kina Ponda wangekuwepo wangeongelea Negatives tu ili mambo ya-balance.
binadamu anazikwa na mabaya yake na mema atayaacha duniani
 
Back
Top Bottom