Kongamano la Mwl Nyerere Nkrumah Hall: Esther Wasira awagusa wengi!

Aisee Ester ameiva, anafunguka mbaya kabisa na hoja za msingi na za ukweli.
 
mwalimu alisema amani ni kama mti yatupasa kuupalilia kwa kutoa haki na kuweka mbolea ya haki. wanafunzi hawapewi mikopo kisa walichukua mafunzo yasio na kipaumbele sasa kwanini selikali ifundishe watu vitu visio vya kipaumbele?. kila kitu kina kipaumbele sehemu yake.
Mimi nafurahi nimepata nafasi ya kusimama na kuwaongelea wenzangu wasio na uwezo huo wa kusimama hapa. basi wote wenye uwezo huo tufanye haya kwa ajiri ya wanyonge wote. tanzania inahitaji ukombozi wa mara ya pili kutoka kwa mafisadi. mia
 
Watu tunafahamu kuwa huyo JK Nyerr na hira zae ndo wametufikisha hapa tulipo! Why tusikilize upuuzi na mwendelezo wa mambo yake mabaya. Wanaomuenzi bila shaka aliwatendea mema.... hawa ndio nyie mliomo Nkruma hall. tumeshafahamu na hatudanganyiki tena na sera zeru za nyerere!

we ni mpuuz na IQ yako ndo imefikia kikomo.
 
Watu tunafahamu kuwa huyo JK Nyerr na hira zae ndo wametufikisha hapa tulipo! Why tusikilize upuuzi na mwendelezo wa mambo yake mabaya. Wanaomuenzi bila shaka aliwatendea mema.... hawa ndio nyie mliomo Nkruma hall. tumeshafahamu na hatudanganyiki tena na sera zeru za nyerere!

Nenda uwanja wa kambarage ukaambatane na mwenzio yuko huko.
 
kwani anayoyasema ni uongo? We utakuwa fisadi

Fisadi bbk, Esther ni fisadi ametoka maisha bora na bbke ni fisadi, hatudanganyiki! Je! Anajadili mada husika au anafanya propaganda?nonsense.
 
estha anasema;
ajira siku hizi zinatolewa kutokana na majina ya watu. mfano;magufuri alisema mizani kumejaa watoto wa vigogo. sasa vijana tusimame na tuseme tunahitaji uwazi katika ajira. watu wanapata ajira kwa upendeleo. Mimi siamini upinzani utaleta vita bali naamini upendeleo na ubadhilifu ndo utaleta vita. vijana hawapati ajira wakati wazee wanaongezewa ajira kwanini? hata kwetu mahakani ipo. hii ni changamoto kwetu vijana. vijana wanaambiwa wakatekeleze sera ya kilimo kwanza je mumewawezesha?. mia
 
kusema ukweli suala la kuongezewa mikataba nalichukia sana,hongera sana dada kwa kugusia hili
 
estha anasema;
Hizi lasilimali ni zetu so vijana yatupasa tuamuke na tuhoji juu ya rasilimali zetu. Elemu inayo tolewa isianade marobots ya kufanya kazi bila kuhoji. mia
 
Wanajf hivi kweli babamdogo (steven wassira) anaweza jenga hoja kama huyu mwanae (esta wassira)? Slaa hakukosea kumpokea huyu mama CHADEMA. Kazi naona imeanza na anamwaga uchochezi wa ukweli hasa.
 
estha asnaema;
elimu ya sasa imewekwa kimatabaka. hii elimu ya sasa haitufai. nyerere alifuta ujinga kwa aslimia 95. Sasa hivi kuna shule za kufundisha watu wa kupata ajira serikalini na nyingine za kuwagandamiza na kupumbaza watanzania. Hakuna kitu ambacho chama tawala kitaweza kufanya ambacho kimeshindwa kwa miaka 50 ndo maana nyerere akasema hakuna ninachoweza kufanya ambacho nmeshindwa kwa mda wote nlio ongoza akang'atuka. hawa wanaogombania uongozi kwa rushwa watazirudishaje?. mia
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom