johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Acha sisi twende kwa maombi na yule msaliti wa nchi mwache aende na mabeberu
Kama hilo boya mnavyolipumbaza kuwa linakubalika wakati October tunalinyoosha liende kwa maintarahamwe menzakeAcha sisi twende kwa maombi na yule msaliti wa nchi mwache aende na mabeberu
Ni wagombea wote mkuu, kuanzia ngazi ya Rais Hadi madiwaniWagombea wote wamealikwa hili waombewe pia au?
Bila Shaka wamepewa mwaliko.Viongozi wetu was Dino wanatukosea sana, jpm no mgombea sawa na wagombea wengine. Walipaswa kuwaalika wagombea wote. Hii ni kampeni pia
Acha sisi twende kwa maombi na yule msaliti wa nchi mwache aende na mabeberu
Naona dini inatumika kisiasa
wiki iliyopita ilikuwa ni TAG, kisha baada ya hapo Taasisi za dini zikaitisha kongamano la kusifu utendaji wa serikali ya Magufuli na ghafla wiki moja baadae eti kuna kongamano lingine la kuombea uchaguzi kisha mualikwa ni Magufuli
Waache wafanye hii michezo yao ya kulifanyia propaganda jina tukufu la Mwenyezi Mungu waje waone mwisho wake! .
Mungu hadhihakiwi!
Mastermind wa hii michezo yote ya kufanya siasa kupitia dini ni BAKWATA kupitia Alhadi.
Hawa BAKWATA wanawadjalilisha sana waislamu mbele ya jamii nzima ya Watanzania.
Wanatumika vibaya!