Kombe la Shirikisho 2022: Simba atacheza mechi mbili tu katika hatua ya hii iliyofikia

Saa nyingine inabidi tuwaonee huruma tuu utopolo, tunadili na watu wenye msongo wa mawazo saana. Miaka minne hamjafanya chochote mpo mpo tuu. Poleni utoporo.
 
Ila ndo tunaongoza ligi kwa points zaidi ya 10.....
 
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.

Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.

Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match ya last week kuna uzembe ulitokea ndo poneaponea ya Simba. Sasa tumeanza ku-deal na Dimba la Mkapa. Na hawa Orlando si wabishi kama wale wapuuzi wengine waliofungwa nne.

PIGA UA GARAGAZA MATCHES MBILI TU KATIKA ROBO FAINALI. THEN JAMAA WANARUDI KUSUMBUANA NA RUVU SHOOTING NA MBEYA KWANZA.
Huu wivu ni wa kiwango kizuri tu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Ban haiwezi nipa hasira..sometimes huwa naitafuta tu. Pesa yangu inaniuma sababu tu ya uzembe flani. Ila this time hakutakuwa na makosa....
Uzembe kaufanya wakina nani? Wachezaji wa USGN au waganga wako au wewe mwenyewe? Hivi navyo ni vituko aisee
 
Mods tafuteni kaalama ka kuweka kwenye nyuzi za kijuha kama hizi. tunaona kabla ya kuingia kusoma
 
Toka mwanzo mlisema simba havuki makundi mara hivi mara vile nasema hivi mpira unadunda lolote laweza kutokea Mungu ni wetu sote hayo mengine ni wivu na mipasho nakuachia wewe na Hadija kopa nmemaliza
 
Simba iliifunga al ahly kipindi kile alikuwa amefungwa na Bayern's Munich na simba tu na mlisema hvyo hvyo simba anakula hamsa taifa ila hata shot on target hakupata.
 
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.

Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.

Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match ya last week kuna uzembe ulitokea ndo poneaponea ya Simba. Sasa tumeanza ku-deal na Dimba la Mkapa. Na hawa Orlando si wabishi kama wale wapuuzi wengine waliofungwa nne.

PIGA UA GARAGAZA MATCHES MBILI TU KATIKA ROBO FAINALI. THEN JAMAA WANARUDI KUSUMBUANA NA RUVU SHOOTING NA MBEYA KWANZA.
Ukimaliza ya Simba embu tuwekee na Yanga atafika wapi kwenye Mapinduzi Cup ya mwaka huu.
 
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.

Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.

Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match ya last week kuna uzembe ulitokea ndo poneaponea ya Simba. Sasa tumeanza ku-deal na Dimba la Mkapa. Na hawa Orlando si wabishi kama wale wapuuzi wengine waliofungwa nne.

PIGA UA GARAGAZA MATCHES MBILI TU KATIKA ROBO FAINALI. THEN JAMAA WANARUDI KUSUMBUANA NA RUVU SHOOTING NA MBEYA KWANZA.

Ulikuja na uzi wako uchwara hapa, wakati simba inacheza na Usgn, mwishowe ukaishia kuumbuka na kuukimbia!
Hizi ramli zenu utopolo mwisho wake mtaishia kuumbuka tu.

Na huu uzi wako uchwara nao utaukimbia na kuishia kuumia tu, na kama ni hao waganga wako unaowategemea ambao nao ni uchwara wataendelea kukupiga hela, na matokeo mazuri ya simba yataendelea kukuumiza!
Na kwa upande wa litimu lako la utopolo kwenye michuano ya kimataifa ilishalaaniwa haitokaa ifanye vizuri huko, kwa chuki zenu dhidi ya mafanikio ya simba!
Utelembwe ikifanikiwa kushiriki tena, mwishowe ni aibu kama kawaida.
 
Utopolo mnaumia sana yaani mwaka wa 4 huu timu ya maana mliyocheza nayo ni Somalia
Sio kweli, acha kudanganya. Mbona mwaka jana sisi Utopolo tulicheza na Rivers na tukapigwa ndani na nje. Au hiyo Rivers ilikuwa ni mito ya Riverside Ubungo? Nyie Simba mnatuonea sana Utopolo. 😤
 
Mpira unadunda angalieni msije mkafukizana pale matopeni.
Matopeni ni pale Jangwani karibu na ule mfereji wa Maji machafu uliojaa vyura. Sisi tukifukazana kwa ajili ya kuingia Robo fainali, wale walioishia raundi za awali wakapigwa nje ndani watafanyaje sasa?
 
Back
Top Bottom