Bad news: CAF kufuta kombe la shirikisho je, Simba tumejiandaaje?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
•••|CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO

- Rais wa Shirikisho la Soka Barani Africa Dkt. Patrice Motsepe amesema inawezekana mashindano ya CAF Confederation (Kombe la Shirikisho) yakaondolewa.

- Sababu kubwa ameeleza kuwa ni wingi wa michuano inayosimamiwa na Shirikisho hilo huku hayaingizi fedha ya kutosha.

Why nimeitaja Simba hapo juu
Kwasababu msimu huu Kuna upinzani mkali kwenye Ligue hasa kwenye nafasi ya pili na tatu

Inajulikana ubingwa utabebwa na Yanga ...then nafasi ya pili Kwa Azam na ndio watakaoenda CAF champions Sasa Simba itakuaje?????

NB: Au tuendelee kuwekeza nguvu zote kwenye kombe la mapinduzi cup mwakani??
1705131852612.jpg
 
Ndio ujiulize kwanini baada ya Yanga na Marumo kushiriki hiyo michuano na kufika level za fainali kila kitu limebadilika.

Ilikuwa ni michuano ya heshima ila tangu Yanga na Marumo wakafika level za juu, kila kitu kikaanzia hapo kubadilika.

Tangu Yanga kufika fainali ya shirikisho inaonekana viongozi wa CAF walifanya tathmini na kugundua michuano hiyo imepoteza hadhi na kuanza kuidhalilisha tasnia ya Soka barani Afrika.

Ndio hapo katika kufikiria ni kivipi wanaweza kulinda heshima ya hiyo michuano ya timu mbovu kunufaika, ikabidi waondoe sheria ya play off.

Lakini baada ya maamuzi hayo ni kama CAF hawakuridhika waliweza kuona mwanya wa timu kama Yanga, Marumo na wenzake kunufaika.

CAF wapo kwenye mchakato wa kuyafuta kabisa yasiwepo.

Yanga na Marumo ndio wakulaumiwa maana wao ndio walitia nuksi haya mashindano
 
Kuna ukweli...
 
Ni kweli
 
Watashiriki kombe la Abiola limerudishwa na CAF, Bingwa wa Ngao ya Jamii walio wezeshwa na Tatu Malogo atashiriki Moja kwa Moja New Abiola cup.
Ubaya ni kuwa ...yule billionaire Abiola now hayupo
 
Ndio ujiulize kwanini baada ya Yanga na Marumo kushiriki hiyo michuano na kufika level za fainali kila kitu limebadilika.

Ilikuwa ni michuano ya heshima ila tangu Yanga na Marumo wakafika level za juu, kila kitu kikaanzia hapo kubadilika.

Tangu Yanga kufika fainali ya shirikisho inaonekana viongozi wa CAF walifanya tathmini na kugundua michuano hiyo imepoteza hadhi na kuanza kuidhalilisha tasnia ya Soka barani Afrika.

Ndio hapo katika kufikiria ni kivipi wanaweza kulinda heshima ya hiyo michuano ya timu mbovu kunufaika, ikabidi waondoe sheria ya play off.

Lakini baada ya maamuzi hayo ni kama CAF hawakuridhika waliweza kuona mwanya wa timu kama Yanga, Marumo na wenzake kunufaika.

CAF wapo kwenye mchakato wa kuyafuta kabisa yasiwepo.

Yanga na Marumo ndio wakulaumiwa maana wao ndio walitia nuksi haya mashindano
Pole
IMG_20240104_211914.jpg
 
Mkuu....lkn Simba kwenye hili kombe la shirikisho...tulihonga Hadi marefa

Baada ya kuona pia ngoma ngumu...tulienda kuroga uwanjani kule sauzi ....Kwa kuchoma dawa uwanjani....
 
Simba hajawahi kubebwa ila inazibeba timu nyingine kwa kufanya vizuri Klabu Bingwa Afrika na kuzoea point nyingi ambazo zinabeba mpaka Utopolokwinyo.
Ila msimu ujao Simba atamaliza 3 .....na confederation haitakuwepo
 
Ndio ujiulize kwanini baada ya Yanga na Marumo kushiriki hiyo michuano na kufika level za fainali kila kitu limebadilika.

Ilikuwa ni michuano ya heshima ila tangu Yanga na Marumo wakafika level za juu, kila kitu kikaanzia hapo kubadilika.

Tangu Yanga kufika fainali ya shirikisho inaonekana viongozi wa CAF walifanya tathmini na kugundua michuano hiyo imepoteza hadhi na kuanza kuidhalilisha tasnia ya Soka barani Afrika.

Ndio hapo katika kufikiria ni kivipi wanaweza kulinda heshima ya hiyo michuano ya timu mbovu kunufaika, ikabidi waondoe sheria ya play off.

Lakini baada ya maamuzi hayo ni kama CAF hawakuridhika waliweza kuona mwanya wa timu kama Yanga, Marumo na wenzake kunufaika.

CAF wapo kwenye mchakato wa kuyafuta kabisa yasiwepo.

Yanga na Marumo ndio wakulaumiwa maana wao ndio walitia nuksi haya mashindano
Timu mbovu zimeorodheshwa hapo
1704136908137.jpg
 
Una chuki na Yanga kupita maelezo, kwani hao Yanga na Marumo walifika level za juu kwa shortcut au kufunga timu zingine? Anaenda mbele kwa kuifunga timu zingine inamaana uwezo wake ni mkubwa. Pyramid alitolewa, Berkane alitolewa, Tp Mazembe alitolewa ni kwasababu waliowatoa mashindanoni kawa bora dhidi ya hao. Achana na mpira wa kukariri majina tu makubwa ya timu.
 
Back
Top Bottom