Kombe la Shirikisho 2022: Simba atacheza mechi mbili tu katika hatua ya hii iliyofikia

Ulikuja na uzi wako uchwara hapa, wakati simba inacheza na Usgn, mwishowe ukaishia kuumbuka na kuukimbia!
Hizi ramli zenu utopolo mwisho wake mtaishia kuumbuka tu.


Na huu uzi wako uchwara nao utaukimbia na kuishia kuumia tu, na kama ni hao waganga wako unaowategemea ambao nao ni uchwara wataendelea kukupiga hela, na matokeo mazuri ya simba yataendelea kukuumiza!
Na kwa upande wa litimu lako la utopolo kwenye michuano ya kimataifa ilishalaaniwa haitokaa ifanye vizuri huko, kwa chuki zenu dhidi ya mafanikio ya simba!
Utelembwe ikifanikiwa kushiriki tena, mwishowe ni aibu kama kawaida.
Futa comment yako huku.
 
Back
Top Bottom