iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,914
- 2,142
Ukomando mavi wa kuvunja matofali..wawapeleke afghanistan waone kama ni makomando kweli
kwani wale wa huko ni makomando wale ni watu wa kujitoa mhanga si makomando
Ukomando mavi wa kuvunja matofali..wawapeleke afghanistan waone kama ni makomando kweli
Tunajadili makomando kuvunja matofali siku ya miaka 50 ya muungano
Tukiwa tunajiandaa kuangalia maonyesho mbalimbali ya majeshi yetu na mbwembwe na ukakamavu wa makomando wetu ktk sherehe za Muungano unapotimiza miaka 50 mwaka huu.
Hivi huko jeshini wapo Makomando wa kike wanaoruka na kuvunja matofali kama wale wakiume?
Kawashike makalio wapo pale lugalo ndio utajuwa!
kwani wale wa huko ni makomando wale ni watu wa kujitoa mhanga si makomando
Source tafadhali sio unakurupuka tu. Nimeshindwa kuweka link ila unaweza kuingia google ukaandika female commandosHakuna commando wa kike mkuu
Na hii sio Tanzania ni dunia nzima
Komandoo Lady JD
Mnajadili nini hapa?
wale wenye mabawa mawili?walikuwepo sabasaba.full komando,sky divermkuu mimi naulizia wale wenye marun beret si hao wa kawaida.
mkuu ulivyojibu utadhani hilo jibu ulikuwa umeshaliandaa kabla
Hakuna commando wa kike mkuu
Na hii sio Tanzania ni dunia nzima
hahaha majibu ya papo kwa papo
Unaweza kuthibitisha kauli yako?Hakuna commando wa kike mkuu
Na hii sio Tanzania ni dunia nzima