hivi kupasua tofali kwa kichwa ndio ukomandoo.. ? wana mazingaumbwe wakina power mabula waliokuwa wanakanywaga na gari kifuani tuwaiteje sasa..maana ni zaid ya komandoo
Sasa kambi ya zanzibar ni ya nini? Ni kambi ya JWTZ lakini ina kazi maalum. Ingekuwa si kinyume cha sheria na viapo ungepata hints zaidi.
Hakuna commando wa kike mkuu
Na hii sio Tanzania ni dunia nzima
wengi wa wanawake sio wavumilivu, hawawezi kufuzu ukomandoo! hawatunzi siri...pia miili yao haiwezi kuhimili mafunzo ya ukomandoo
Nilishawai kuwauliza makomandoo kwenye maonesho yao pale saba saba mwaka juzi, wamesema duniani kote hakuna komandoo wa kike na hii ni sababu ya mfumo wao wa kimwili jinsi ulivyo ni vigumu kuhimili mazoezi yake, kwani ni magumu sana, wamesema wao kama makomandoo wanapata training karibu mataifa yote makubwa ulimwenguni, huwa wanatawanywa, lakini ukiuliza kote huko hakuna komandoo wa kike
Mkuu TISS hawatoi kozi ya commando. To my knowledge kambi pekee inayotoa Special tactics and commando course ni 92kj ngerengere
ooooh nataka haki sawa mbona hiyo. haki hawataki ? wadada mpo fursa hiyo
wengi wa wanawake sio wavumilivu, hawawezi kufuzu ukomandoo! hawatunzi siri...pia miili yao haiwezi kuhimili mafunzo ya ukomandoo
Bahati mbaya viungo vimeshakomaa natamani sana ningekwenda kozi hizo halafu mwanaume akinichokiza tu nampa vitasa hadi atajiuliza mie mtu au roboti na ningejitahidi kufanya the best . Yani hapa damu inanisisimka.ningeshika silaha nisingerudisha chini bila kutumika ipasavyo.
Hiko ni kikosi cha komando.Hawa ni makomandoo au wajeda wakawaida
Ukomando mavi wa kuvunja matofali..wawapeleke afghanistan waone kama ni makomando kweli