Komando wa kike Jeshini

Komando wa kike Jeshini

gen. Moshe Dayan uko wapi?.kuna mtu kaniambia umepotelea congo forest ktk ile vita na m23.kama upo nakuomba uje uondoe utata aliouliza mleta mada.

nipo comrade,, tunapiga kura Malawi, nimebadili uraia,,, am no longer jewish, skuizi mmalawi, naongea kichewa vbaya sana,,
 
Mimi niwauliza live bila chenga kwenye maonesho ya 7,7 mwaka jana walisema hakuna komando wa kike hii ni kutokana na maumbile yao.
Ni kweli mkuu,hata mimi niliwahi wauliza pale 7,7 wakanijibu hivyo hivyo.
 
nipo comrade,, tunapiga kura Malawi, nimebadili uraia,,, am no longer jewish, skuizi mmalawi, naongea kichewa vbaya sana,,

ooh kumbe upo warrior,nilidhani umepotezwa....najua hapo malawi upo ktk kazi maalumu.karibu tena jf.
 
Back
Top Bottom