Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
Hawapo humu watupe jibu swali hilo
First woman wins Marines'
green beret:
By Auslan Cramb and Michael Smith
12:01AM BST 01 Jun 2002
Military history was made yesterday when a
female soldier won the green beret of the
Royal Marines.
Capt Philippa "Pip" Tattersall, 27, completed
the eight-week commando course, regarded as
one of the toughest military tests in the world,
at her third and final attempt ....... First woman wins Marines' green beret - Telegraph
Mnajadili nini hapa?
..hakuna komando wa kike jwtz na hata nchi nyingine.labda half komando na sio jeshi la tz.niamini mimi zingine porojo.
Wapo wadada wa 3 waliopitia mafunzo ya commando kwenye kambi ya TISS ya Zanzibar. Walikuja morogoro (JWTZ) kwa muda ila kwa sasa wako idarani TISS.
Ni kweli kwamba, kwetu Tz hakuna commando wa kike, ila sio kusema ni dunia nzima, unajua hayati col. muamar gaddaf alikuwa analindwa na akina nani? kiufupi ni kwamba gaddaf alikuwa analindwa na ma-bodyguard wa kike tu, kwahiyo sifa kubwa ya kuwa bodyguard ni kuwa commando.

Mkuu TISS hawatoi kozi ya commando. To my knowledge kambi pekee inayotoa Special tactics and commando course ni 92kj ngerengere
First woman wins Marines'
green beret:
By Auslan Cramb and Michael Smith
12:01AM BST 01 Jun 2002
Military history was made yesterday when a
female soldier won the green beret of the
Royal Marines.
Capt Philippa "Pip" Tattersall, 27, completed
the eight-week commando course, regarded as
one of the toughest military tests in the world,
at her third and final attempt ....... First woman wins Marines' green beret - Telegraph
Sasa kambi ya zanzibar ni ya nini? Ni kambi ya JWTZ lakini ina kazi maalum. Ingekuwa si kinyume cha sheria na viapo ungepata hints zaidi.
mmeuona mkwara wa komandoo wa kike...nyie endeleeni mtaonaMnajadili nini hapa?
Samahani mkuu eight week's course?
Mkuu TISS hawatoi kozi ya commando. To my knowledge kambi pekee inayotoa Special tactics and commando course ni 92kj ngerengere
samahani mkuu,ume-click ile link na kuisoma article nzima?.
..hakuna komando wa kike jwtz na hata nchi nyingine.labda half komando na sio jeshi la tz.niamini mimi zingine porojo.
AHa yale matofali yaliyotengenezwa kwa uwiano wa saruji na mchanga kwa 1:20 ?Tunajadili makomando kuvunja matofali siku ya miaka 50 ya muungano