Tetesi: Koko Beach nayo ishauzwa?

Wauze Mkapa. Maana tangu wachina wameondoka, watu wanakula tu pesa.
 
Sasa mkuu ndio kusema hutaki maendeleo unataka tudumae tu kila siku ukipita hapo ukute mihogo tu mpaka unazeeka ni mihogo tu.

Badilika kidogo sio kulia lia kila siku kwa kila kitu.
Hizi ndio shida za kuwa na makuwadi wa soko huria.. Uono wao huwa hafifu mno!
 
Sasa mkuu ndio kusema hutaki maendeleo unataka tudumae tu kila siku ukipita hapo ukute mihogo tu mpaka unazeeka ni mihogo tu.

Badilika kidogo sio kulia lia kila siku kwa kila kitu.
Vp bado wanawa kwala hela kwenye ATM hapo dom,au Usha msha solve

Ova
 
Achaa iuzwe,Kwanza pachafu kama nini pale,uswahili kila mahali,acha pawekezwe pawe kama Dubai..!
Kule Dudai fukwe nyingi zinamilikiwa na serikali na makampuni makubwa..!
Sisi tumejaza waswahili..!

Tanzania haiwezi kuwa Dubai hata milele kwasababu mifumo ya kiuchumi na kijamii ni tofauti. Kwetu ukitoa vyanzo vyote vya mapato kwa matajiri wananchi wataishi vipi? Serikali imeshindwa kwenye sekta ya elimu, yaani magumashi tupu. Mnawaambia vijana wajiajiri wakijaribu mnawaita waswahili. Kwanza Sisi waswahili hii ni nchi yetu kama unataka kuishi na matajiri wa Dubai sio hapa. Airport iko pale Ukonga kapande ndege uende. Bye bye πŸ‘‹πŸΏ
 
Nitawaroga
 
Inawezekana ardhi ya coco beach ni sehemu ya Zanzibar, kuna wazalendo walidai kuwa eneo la Dar es Salaam, kilometa 10 kutoka ufukwe wa bahari lipo Zanzibar.

Duh! πŸ₯ΊπŸ₯΅πŸ€¬
 
kwanza siamini hata kama wanauza, kwangu mtu akisema wanauza maana yake ni kwamba coco beach imeuzwa at market value na aliyenunua ana-transfer hazina/halmashauri at market value + taxes, hivyo siamani kwamba ''aliyeuziwa'' amelipia bei inayoendana na thamani ya coco beach, jaribu tu kutaka kununua nyumba oyasterbay gharama yake inafikia bilioni ije kuwa coco beach yote? nani atamudu kulipia hiyo?
hawa wanagawa mali za nchi bure na hakuna fedha yoyote inayoingia hazina/halmashauri kutokana na mali zetu ambazo mnasema ''zinauzwa''.

hivyo lugha sahihi ni uporaji, wanapora mali za nchi yetu na siyo kwamba zimeuzwa bali zimeporwa, ni kama mwendokasi tu, haijauzwa bali imeporwa kwa maana hata mabasi yaliyonunuliwa ni serikali ndiyo imeyanunua halafu mofat akayapora na kujiita muwekezaji ....
 
Sasa mkuu ndio kusema hutaki maendeleo unataka tudumae tu kila siku ukipita hapo ukute mihogo tu mpaka unazeeka ni mihogo tu.

Badilika kidogo sio kulia lia kila siku kwa kila kitu.
Huwezi kuendeleza bila kuuza? Unafikiri zile open to public beach Miami nani anaziendeleza? Ni serikali za mtaa na manispaa kwa kutumia kodi za wananchi vizuri.
 
Baada ya Notice ya kuondoka hapo kitakachofata ni

"Nali" yani πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ tu na Millard Ayo ataripoti patapigwa kamba imeisha hiyo!πŸ˜‚
 
Pakiwa kama Dubai si wataenda wakazi wa Masaki tu?
Achaa iuzwe,Kwanza pachafu kama nini pale,uswahili kila mahali,acha pawekezwe pawe kama Dubai..!
Kule Dudai fukwe nyingi zinamilikiwa na serikali na makampuni makubwa..!
Sisi tumejaza waswahili..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…