Nini tena mzee mzima mwenzanguInasikitisha sana.
Ngj siku nmtafute s.mnyonge nimbaneUkisikia jambo linafanyika kwa maslahi mapana ya taifa,ujue maana ya taifa(maslahi ya kakikundi kadogo cha watu)
mimi sio raisi wa wanyonge.
Katika Beach ambayo nlibahatika kwenda,kula burdan na huwa siisahau ni copacabana,Brazil alafu ile ni free beach tu na watu wamefanya uwekezaji kimpangilioAisee niliwahi kujiuliza kwa nini sisi maeneo ya fukwe hatufanyi kama wenzetu ni maeneo ya wananchi majengo yanajengwa baada ya bara bara huko ufukweni watu wanaweza kufanya mazoezi umbali mrefu kwenye mchanga au vitofari..
Nawaonea huruma watoto wetu. Baba zao tulikuwa tunaenda hapo kila jumapili enzi hizo kila mtu na gari ya babaNini tena mzee mzima mwenzangu
Tutahamia Beach za kigamboni 😄
Ova
Sana angalau sisi tumeifaidi watoto wetu sasaNawaonea huruma watoto wetu. Baba zao tulikuwa tunaenda hapo kila jumapili enzi hizo kila mtu na gari ya baba
Kama walivyomchomoa ndugu yetu Alphonce hapo coco kwemye kitimoto akachukua mama AK na kufungua Bravo Coco kuingia lazima uache 30,000 mlangoni.Sana angalau sisi tumeifaidi watoto wetu sasa
Maana hapa patajaa restaurants,ukingia unakutana front office lipia uingie
Ova
Hadi watanzania wapumbavu watakapojua maana ya azimio la arusha..Hizi kelele wanazopiga hawa vijana hapa ni sawa na kelele za chura ambazo haziwezi kumzuia tembo kunywa maji.
In fact kwasaasa kinauzwa kila kitu
Vikubwa vimeshauzwa vyote
Vya kati vimeshauzwa vyote sasa ni zamu ya vidogo
Wiki iliyopita tulishuhudia uuzwaji wa shule kule Kurasini DSM.
Kabla ya hapo kuna mashamba yenye mahindi yaliyokuwa yamemea vizuri sana kule Ngorongoro.. Kwa taharuki kubwa na kwa mshangao wa wengi yale mahindi yalifyekwa yote kwa amri na usimamizi wa DC
Mwaka jana stendi ya daladala ya simu 2000 iliuzwa. Wananchi walipinga kwa nguvu sana mpaka kufikia kuandamana lakini haikusaidia waliondoshwa kwa nguvu
Maeneo ya wazi karibia yote yalishauzwa, shule za serikali tumeshuhudia mbili zikiuzwa ndani ya mwaka mmoja
Masoko mengi yameuzwa lakini kelele hazikuwa nyingi kwakuwa ilitumika style ya kupiga kibiriti
Hawa vijana nawaonea huruma sana hasa hawa wanaoonekana wakiongea.
Tuwaombee sana sana!
Na si ajabu ndani ya mwezi ujao ukaambiwa COCO BEACH imewaka moto usiku! Maana ajali za moto maeneo kama hayo siku hizi ni kawaida sana
Aise,alphonce alichomolewa kumbeKama walivyomchomoa ndugu yetu Alphonce hapo coco kwemye kitimoto akachukua mama AK na kufungua Bravo Coco kuingia lazima uache 30,000 mlangoni.
Miaka kadhaa nko mjiniKonyagi ndogo 15,000
Siku nyingi sanaAise,alphonce alichomolewa kumbe
Ova
Hahahaha😂Miaka kadhaa nko mjini
Nliitwa na Mshuwa mmoja
Akaniambia tukutane hi spirit lounge..mkabala na ATC house kuingia kucheck menu nkaona konyagi kubw inaenda 40+ elfu
Nkasema msinitanie,nkashuka chini
Nkaenda kchkua zinga langu nkapanda nalo juu
Ilikuwa utata sana,yule mshuwa na heshima zake town na pale basi mpk leo akikumbuk lile tukio anasema wee kichwa chako unakijuwa mwenyewe 😄
KKonyag 10000 ukaniuzie 40+ mzinga haiwezekani
Ova
IT Plaza Roof top napakumbuka. Tumeenda sana hapo. Hivi bado ina bang? Nikipita hapo chini naona warembo wa casino wamezagaazagaaMiaka kadhaa nko mjini
Nliitwa na Mshuwa mmoja
Akaniambia tukutane hi spirit lounge..mkabala na ATC house kuingia kucheck menu nkaona konyagi kubw inaenda 40+ elfu
Nkasema msinitanie,nkashuka chini
Nkaenda kchkua zinga langu nkapanda nalo juu
Ilikuwa utata sana,yule mshuwa na heshima zake town na pale basi mpk leo akikumbuk lile tukio anasema wee kichwa chako unakijuwa mwenyewe 😄
KKonyag 10000 ukaniuzie 40+ mzinga haiwezekani
Ova
Nlipigwagwa ban paleIT Plaza Roof top napakumbuka. Tumeenda sana hapo. Hivi bado ina bang? Nikipita hapo chini naona warembo wa casino wamezagaazagaa
Hahaha ume nikumbusha Chai na half cake 2 elfu 14, nika mwambia mwenyeji tusepe.Miaka kadhaa nko mjini
Nliitwa na Mshuwa mmoja
Akaniambia tukutane hi spirit lounge..mkabala na ATC house kuingia kucheck menu nkaona konyagi kubw inaenda 40+ elfu
Nkasema msinitanie,nkashuka chini
Nkaenda kchkua zinga langu nkapanda nalo juu
Ilikuwa utata sana,yule mshuwa na heshima zake town na pale basi mpk leo akikumbuk lile tukio anasema wee kichwa chako unakijuwa mwenyewe 😄
KKonyag 10000 ukaniuzie 40+ mzinga haiwezekani
Ova
Ila ukiwa kule roof top ndio uta appreciate skyline ya Dar. Kuna amazing viewNlipigwagwa ban pale
😄
Nahisi itakuwepo
Ova