Tetesi: Koko Beach nayo ishauzwa?

Tetesi: Koko Beach nayo ishauzwa?

Sasa mkuu ndio kusema hutaki maendeleo unataka tudumae tu kila siku ukipita hapo ukute mihogo tu mpaka unazeeka ni mihogo tu.

Badilika kidogo sio kulia lia kila siku kwa kila kitu.
Hizi ndio shida za kuwa na makuwadi wa soko huria.. Uono wao huwa hafifu mno!
 
Sasa mkuu ndio kusema hutaki maendeleo unataka tudumae tu kila siku ukipita hapo ukute mihogo tu mpaka unazeeka ni mihogo tu.

Badilika kidogo sio kulia lia kila siku kwa kila kitu.
Vp bado wanawa kwala hela kwenye ATM hapo dom,au Usha msha solve

Ova
 
Achaa iuzwe,Kwanza pachafu kama nini pale,uswahili kila mahali,acha pawekezwe pawe kama Dubai..!
Kule Dudai fukwe nyingi zinamilikiwa na serikali na makampuni makubwa..!
Sisi tumejaza waswahili..!

Tanzania haiwezi kuwa Dubai hata milele kwasababu mifumo ya kiuchumi na kijamii ni tofauti. Kwetu ukitoa vyanzo vyote vya mapato kwa matajiri wananchi wataishi vipi? Serikali imeshindwa kwenye sekta ya elimu, yaani magumashi tupu. Mnawaambia vijana wajiajiri wakijaribu mnawaita waswahili. Kwanza Sisi waswahili hii ni nchi yetu kama unataka kuishi na matajiri wa Dubai sio hapa. Airport iko pale Ukonga kapande ndege uende. Bye bye 👋🏿
 
Hizi kelele wanazopiga hawa vijana hapa ni sawa na kelele za chura ambazo haziwezi kumzuia tembo kunywa maji.

In fact kwasaasa kinauzwa kila kitu

Vikubwa vimeshauzwa vyote

Vya kati vimeshauzwa vyote sasa ni zamu ya vidogo

Wiki iliyopita tulishuhudia uuzwaji wa shule kule Kurasini DSM.

Kabla ya hapo kuna mashamba yenye mahindi yaliyokuwa yamemea vizuri sana kule Ngorongoro.. Kwa taharuki kubwa na kwa mshangao wa wengi yale mahindi yalifyekwa yote kwa amri na usimamizi wa DC

Mwaka jana stendi ya daladala ya simu 2000 iliuzwa. Wananchi walipinga kwa nguvu sana mpaka kufikia kuandamana lakini haikusaidia waliondoshwa kwa nguvu

Maeneo ya wazi karibia yote yalishauzwa, shule za serikali tumeshuhudia mbili zikiuzwa ndani ya mwaka mmoja

Masoko mengi yameuzwa lakini kelele hazikuwa nyingi kwakuwa ilitumika style ya kupiga kibiriti
Hawa vijana nawaonea huruma sana hasa hawa wanaoonekana wakiongea.

Tuwaombee sana sana!

Na si ajabu ndani ya mwezi ujao ukaambiwa COCO BEACH imewaka moto usiku! Maana ajali za moto maeneo kama hayo siku hizi ni kawaida sana

Nitawaroga
 
Inawezekana ardhi ya coco beach ni sehemu ya Zanzibar, kuna wazalendo walidai kuwa eneo la Dar es Salaam, kilometa 10 kutoka ufukwe wa bahari lipo Zanzibar.

Duh! 🥺🥵🤬
 
kwanza siamini hata kama wanauza, kwangu mtu akisema wanauza maana yake ni kwamba coco beach imeuzwa at market value na aliyenunua ana-transfer hazina/halmashauri at market value + taxes, hivyo siamani kwamba ''aliyeuziwa'' amelipia bei inayoendana na thamani ya coco beach, jaribu tu kutaka kununua nyumba oyasterbay gharama yake inafikia bilioni ije kuwa coco beach yote? nani atamudu kulipia hiyo?
hawa wanagawa mali za nchi bure na hakuna fedha yoyote inayoingia hazina/halmashauri kutokana na mali zetu ambazo mnasema ''zinauzwa''.

hivyo lugha sahihi ni uporaji, wanapora mali za nchi yetu na siyo kwamba zimeuzwa bali zimeporwa, ni kama mwendokasi tu, haijauzwa bali imeporwa kwa maana hata mabasi yaliyonunuliwa ni serikali ndiyo imeyanunua halafu mofat akayapora na kujiita muwekezaji ....
 
Sasa mkuu ndio kusema hutaki maendeleo unataka tudumae tu kila siku ukipita hapo ukute mihogo tu mpaka unazeeka ni mihogo tu.

Badilika kidogo sio kulia lia kila siku kwa kila kitu.
Huwezi kuendeleza bila kuuza? Unafikiri zile open to public beach Miami nani anaziendeleza? Ni serikali za mtaa na manispaa kwa kutumia kodi za wananchi vizuri.
 
Baada ya Notice ya kuondoka hapo kitakachofata ni
Hizi kelele wanazopiga hawa vijana hapa ni sawa na kelele za chura ambazo haziwezi kumzuia tembo kunywa maji.

In fact kwasaasa kinauzwa kila kitu

Vikubwa vimeshauzwa vyote

Vya kati vimeshauzwa vyote sasa ni zamu ya vidogo

Wiki iliyopita tulishuhudia uuzwaji wa shule kule Kurasini DSM.

Kabla ya hapo kuna mashamba yenye mahindi yaliyokuwa yamemea vizuri sana kule Ngorongoro.. Kwa taharuki kubwa na kwa mshangao wa wengi yale mahindi yalifyekwa yote kwa amri na usimamizi wa DC

Mwaka jana stendi ya daladala ya simu 2000 iliuzwa. Wananchi walipinga kwa nguvu sana mpaka kufikia kuandamana lakini haikusaidia waliondoshwa kwa nguvu

Maeneo ya wazi karibia yote yalishauzwa, shule za serikali tumeshuhudia mbili zikiuzwa ndani ya mwaka mmoja

Masoko mengi yameuzwa lakini kelele hazikuwa nyingi kwakuwa ilitumika style ya kupiga kibiriti
Hawa vijana nawaonea huruma sana hasa hawa wanaoonekana wakiongea.

Tuwaombee sana sana!

Na si ajabu ndani ya mwezi ujao ukaambiwa COCO BEACH imewaka moto usiku! Maana ajali za moto maeneo kama hayo siku hizi ni kawaida sana

"Nali" yani 🔥🔥🔥 tu na Millard Ayo ataripoti patapigwa kamba imeisha hiyo!😂
 
Pakiwa kama Dubai si wataenda wakazi wa Masaki tu?

Back
Top Bottom