Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,017
- 51,149
Mkuu kuna mahali imesemekana pameuzwa??Huwezi kuendeleza bila kuuza? Unafikiri zile open to public beach Miami nani anaziendeleza? Ni serikali za mtaa na manispaa kwa kutumia kodi za wananchi vizuri.