Tetesi: Koko Beach nayo ishauzwa?

Tetesi: Koko Beach nayo ishauzwa?

Ila ukiwa kule roof top ndio uta appreciate skyline ya Dar. Kuna amazing view
Sana,bar yangu kubwa kwa mjini ilikuwa ile opposite na immigration office zamani pale jiji,Florida pub nayo sjui kama ipo au laa ukitoka hapo Labda uende NBC club kupiga vitu

Ova
 
Mbagala Rangi 3

Uwanja wa Natal uliomtoa staa mkubwa wa Nchi Mbwana Samatta kiliuzwa kikatengenezwa kiwanda cha rasta,,,viwanja vyote mbagala vimetengenezwa either soko au kiwanda..ni kweli tunataka maendeleo lakini leo watoto hawana pa kucheza hakuna kiwanja kilichosalia
 
Ila ukiwa kule roof top ndio uta appreciate skyline ya Dar. Kuna amazing view
Sema kuna lounge moja matata sana walifungua iko pale crdb head office sea view ufunguzi kuna boss moja pale namjuwa alinialika aise jamaa ndani wamepatendea haki environment bei zao poa kabisa siku ile nlipiga vitu sana wana lounge matata sana mule aise

Ova
 
Mbagala Rangi 3

Uwanja wa Natal uliomtoa staa mkubwa wa Nchi Mbwana Samatta kiliuzwa kikatengenezwa kiwanda cha rasta,,,viwanja vyote mbagala vimetengenezwa either soko au kiwanda..ni kweli tunataka maendeleo lakini leo watoto hawana pa kucheza hakuna kiwanja kilichosalia
Open space nyingi zimeuzwa aise
Ile ya biafra nmeambiwa sahv watu hawana sehemu ya kucheza mpira nmeshanga sana

Ova
 
Ukiona mt aliunga mkono uchaguz na leo hii anatoa milio yakubanwa kwenye utafutaj wewe mtie na ngumi ya pua
 
Katika Beach ambayo nlibahatika kwenda,kula burdan na huwa siisahau ni copacabana,Brazil alafu ile ni free beach tu na watu wamefanya uwekezaji kimpangilio
Beach za Durban si umeziona nazo kuna ile Golden sand 😄
Mambo ya ushaka Beach

Hawa viongozi wetu watembe wakajifunze wapate idea

Ova
Copa pia nimefika ni balaa naifananisha na Durban beach kwa Afrika wenzetu wamejifungia ndani wakati Durban wanatangaza wanataka iwe beach bora zaidi ya pale sisi tunauza sehemu nzuri za kufanyia mazoezi kwa kweli Durban ni sehemu sahihi sana na napokua huko na enjoy sana hata hapo Suncoast ni hatari na nusu..
 
Sasa mkuu ndio kusema hutaki maendeleo unataka tudumae tu kila siku ukipita hapo ukute mihogo tu mpaka unazeeka ni mihogo tu.

Badilika kidogo sio kulia lia kila siku kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom