MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,417
- 40,270
Bilashaka ni mnenguaji wa bendi yake Koffi... akampata humohumo,akamfanya mke.Umri wao umepishana sana.Mke mdogo kabisa
Duh.Magonjwa kama magonjwa 🤣
Naam, swali langu pia...hivi huyu Cindy si alikuwa dansa wake wale wanawake wanaokata mauno kwenye nyimbo zake.?
Ila anafaidiBilashaka ni mnenguaji wa bendi yake Koffi... akampata humohumo,akamfanya mke.Umri wao umepishana sana.
Cindy hakuwa mnenguaji. Alijiunga na Koffi kama mwimbaji.Bilashaka ni mnenguaji wa bendi yake Koffi... akampata humohumo,akamfanya mke.Umri wao umepishana sana.
Ht mi najiulizaKwani Cindy ndiyo mke halali au baada ya kuwa mpango wa kando muda mrefu amekuwa mke automatically
🙄 🤣Ndio mi mkubwa kwako, 1994 album Maggie inatoka mimi nina akili zangu timamu na Disco naenda.
Koffii ameoa mara tatu, alimuoa Marianne Makosso, wakazaa watoto watatu. Badae Stephanie Godie nae akapata nae watoto wawili, wakatemana.
Badae 1994, akamuoa kwa urasmi kabisa Alliane, mrembo mkali sana mama yake Didistone. Wanasema huyu ndie mwanamke ambae V12 alimpenda zaidi kiasi cha kumtungia nyimbo mbalimbali. Sikiliza "Miss des Miss" toka kwenye Album Noblesse Oblige, 1994. Walidumu miaka kibao wakaachana 2021 juzi tuu hapo.
Huyo Cindy ni hawala/kimada yaani extra marital. Bado mtu mzima hajamwaga wino hapo mzee. Anapiga tuu. 😁
Kuna hizi ngoma...Huyu Cindy kuna nyimbo kaimba na Koffi ana kasauti fulani ni nyoko aseeh. Sikuwahi kudhani ni mke wake, wamekutana wote wanajua kuimba bhana.
Kuna hizi ngoma...
Mon Bonheur, Koukoulou na Symposium. Aaaaah mdada ana sauti huyo!
Kwamba vijana wataandama?! Koffi kwa kuwa na jina kubwa ushirika wake na vijana unawainua vijana zaidi, wao ndio wanasafari ndefu mbele.Kwa kuongezea Coffie ni mtu a anaetumia vijana. Utakuta mziki wake kashirikisha vijana wadogo wadogo. Anavuna energy ya vijana, siku vijana wakimshitukia huenda akayumba.
Simulizi tamu, ongeza wino tusome zaidi.Ndio mi mkubwa kwako, 1994 album Maggie inatoka mimi nina akili zangu timamu na Disco naenda.
Koffii ameoa mara tatu, alimuoa Marianne Makosso, wakazaa watoto watatu. Badae Stephanie Godie nae akapata nae watoto wawili, wakatemana.
Badae 1994, akamuoa kwa urasmi kabisa Alliane, mrembo mkali sana mama yake Didistone. Wanasema huyu ndie mwanamke ambae V12 alimpenda zaidi kiasi cha kumtungia nyimbo mbalimbali. Sikiliza "Miss des Miss" toka kwenye Album Noblesse Oblige, 1994. Walidumu miaka kibao wakaachana 2021 juzi tuu hapo.
Huyo Cindy ni hawala/kimada yaani extra marital. Bado mtu mzima hajamwaga wino hapo mzee. Anapiga tuu. 😁
Kilicho mkasirisha Mopao huyo mdada aliiba taulo la kwny ndege ilhali mwazo alikataa hakuiba huku akionyesha utovu wa nidhamu...una bondwa tuuhili tukio lilinifanya kumchukia kbs huyu mzee anaonekana ni mpenda sifa, anajskia, jeuri, ana dharau sn, mpelekeshaji.