Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

Huyu Cindy kuna nyimbo kaimba na Koffi ana kasauti fulani ni nyoko aseeh. Sikuwahi kudhani ni mke wake, wamekutana wote wanajua kuimba bhana.
Huyo kavunja NDOA ya watu tu hawana hata miaka 5 toka watangaze ni wapenzi, mke wa koffi toka ujana wake ni huyo pichani anaitwa alliance
download (1).jpeg
 
Mkuu Cyndi na Ekea ni juzi tuu hapo JK raisi wa nchi hii. Cyndi anajiunga QL miaka 9 badae Suzuki (4×4) kuondoka QL. 1999 Suzuki tayari ana Solo Album "Decompte Final".
Hawa akina Suzuki, Sam Tshintu, Djudju Chet, Petty Chomba, Cyndi ni baba zake.
Kweli kabsaa!
 
Koffi ni mtu na nusu ila amekuwa na tabia za ubabe na ukorofi hasa kwa wasanii wenzake.
Kuna kisa kimoja kilimtokea JB mpiana Mbedeli mke wake Amida shatur kumkimbia na kuolew na did kinuani.

Sasa wasanii kadhaa walialikwa akiwemo koffi na werason. Werason akagoma akasema pamoja na bifu langu na JB Mpiana lakin siwez kutumbuiza kwa ajili ya pesa wakati msanii mwenzangu analia kwa maumivu kwa tukio hilo.

Koffi akasema mimi mbele ya pesa sijali chochote, naskia wasanii walimmaindi kichizi hasa Felix wazekwa.
 
Mku
Hapana. Ameanza kuimba na Koffi mwaka 2007. Kabla ya hapo alikuwa akiimba na Mwimbaji wa TPOK Jazz ya Franco aitwaye Carlito Lassa ( Frere Carlyto) ambaye aliimba nyimbo Kama Maya, Affaire Kitikwala, album maarufu ya Mayaula Mayoni ya Don P .....


View: https://youtu.be/Ze6G_JF481w?si=bFKf2LnJrocauT5d
Kidada Kirefu ndiyo Cindy.....

Moja ya nyimbo maarufu za Carlyto aliimba na Mayaula Mayoni.

View: https://youtu.be/r_ZJphVz-sw?si=17mleIuzuiHX2DB6

Mkuu nmekuota vyema nafikiri mwaka huohuo wa 2007 ndo aliimb wimbo wa ikea, halafa huyo mayaula ndo aliyewah kuchezea yanga japokuwa skumbuki kama ni kipindi kilekile baba yake alipokuwa balozi wa Kongo nchini tz au ni baada.
 
una tukonga nyoyo zetu na uchambuzi,

kama hutojali gusia ugomvi wao na Papa wemba,, niliwai sikia walitoa album ya pamoja lakin mpunga mwingi alipiga koffi, kwamba alimzidi ujanja ktk mikataba hasa ile kampun 🤣,
Mkuu umenikumbusha yaani leo niko bampa to bampa na song la papa wrmba la Fula ngenge, hili goma nimelimis kwa miaka ishiri hivi.

Nilikuwa sijalijua jina kipindi hiyo ila leo nimelifuma ktk ufukunyuzi.
 
Mkuu umenikumbusha yaani leo niko bampa to bampa na song la papa wrmba la Fula ngenge, hili goma nimelimis kwa miaka ishiri hivi.

Nilikuwa sijalijua jina kipindi hiyo ila leo nimelifuma ktk ufukunyuzi.
inabidi niweke bando la kutosha kunyonya ,😁
 
Nitolee upumbavu wako hapa. Huna tofauti na ile misukuke ya Mwamposa. Kwanini ukubali kudanganywa kijinga? Yaani nchi bado ina watu wajinga mno. Mtu mwongo anatetewa na mimi ninayepinga uongo mnanishambulia... inashangaza.
Ndo lenyewe Hilo limekuja na Id nyingine, pumbavu kama wapumbavu wengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom