Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

Ndio mi mkubwa kwako, 1994 album Maggie inatoka mimi nina akili zangu timamu na Disco naenda.

Koffii ameoa mara tatu, alimuoa Marianne Makosso, wakazaa watoto watatu. Badae Stephanie Godie nae akapata nae watoto wawili, wakatemana.
Badae 1994, akamuoa kwa urasmi kabisa Alliane, mrembo mkali sana mama yake Didistone. Wanasema huyu ndie mwanamke ambae V12 alimpenda zaidi kiasi cha kumtungia nyimbo mbalimbali. Sikiliza "Miss des Miss" toka kwenye Album Noblesse Oblige, 1994. Walidumu miaka kibao wakaachana 2021 juzi tuu hapo.

Huyo Cindy ni hawala/kimada yaani extra marital. Bado mtu mzima hajamwaga wino hapo mzee. Anapiga tuu. 😁
Siku akimwaga wino, wanaachana
 
Mkuu miss des miss naikubali sana hiyo ngoma ingawa sujui ina maanisha nini
 
😁 Heshima kwako ,,
 
Mkuu hapo mwishoni ..Cindy anamfanya Mzee azidi kupendeza.Hawala hana talaka ...wanasaidia sana kimaisha.
 
Mkuu miss des miss naikubali sana hiyo ngoma ingawa sujui ina maanisha nini

"Miss des Miss" ni nyimbo anamsifia mke wake Mama wa DiDistone, alieishi nae miaka mingi ambae alikuwa mrembo kwelikweli. Mopao alinasa kweli kweli hapo. Kama wewe sio mhenga huyo mwanamke ndio yule anaonekana kwenye "Danger De Mort" anatoka kama chumbani hivi kavaa ka kitenge, coridoni anamkumbatia Mopao. Ni chuma kwelikweli. Mopao kama alivyo mkongoman yeyote anapenda mwanamke mzuri.
Wametarikiana juzi tuu hapo Paris.
 
Wajue watu wanaompa Mkongwe KOFFI OLOMIDE Nguvu ya Kudumu kwenye Muziki wa Afrika Takribani Miaka 40 Leo..

Wanasema Penye Mafanikio ya Mtu lazima kuna Connection au Mchakato flani wa kueleweka.

Hawa ndiyo Miamba tegemeo la Koffi Olomide.

1-Mkewe, Cindy le Couer. Huyu ndio kiungo, siyo muhimu Bali ni kiungo wa LAZIMA...

2-George Weah Wakawaka, DJ na Mtayarishaji Wa Muziki kutoka Yaunde Cameroon 🇨🇲.

2-Boss Batuta, Mzee Wa New York. Matamasha mengi ulaya na America Kiungo ni huyu.

3-Jean Baptiste Ilunga AKA Sundiata Keita. Huyu makazi yake Brussels, New York na Paris.. Unaambiwa Jamaa mwaka mzima anazunguka kwenye matamasha kwa wasanii wake anaowasimamia.

4-Tchacho mumbala. AKA Jamal Kashogi, huyu ni P. Funk wao, na pia ni Mpishi wa Mitindo mingi unayoiona na kusikia kwa KOFFI OLOMIDE na Mkewe CINDY.

5-Bestinne Sandra Kazadi. Huyu ni Bilionea wa Kinshasa, na alipata Kuwa Rais wa AS VITA CLUB, mpaka 2023.Ndiyo chimbo la KOFFI OLOMIDE kwenye Mambo ya pesa. Yaani ndiye GSM wake panapohitajika Neno la kipesa.

6-Tonny Muamba. Huyu ni Kiungo mwingne anayehakikisha KOFFI OLOMIDE na CINDY wanakuwa Bora muda wote. Ni mmiliki wa Mahoteli na Kumbi za Starehe Katika miji ya Paris, Marseille, Brussels na New York.

7-Davids Mumbele Matandi. Bilionea mwingne aishiye Paris kipenzi cha Koffi Olomide, huyu ndiye spea tairi ya Kila Shida analohitaji Koffi ikiwa atahitaji. Na ndiye mshauri wa tenda mbali mbali anazoingia Koffi ndani na Nje ya Congo.

8-Adolf Muteba Chilawena. Ni Zambia mwenye asili ya CONGO. Ni Promota mmoja wapo wa Koffi na ukitaka kufanya kazi na Koffi UK I mpaka Muteba akakubali Bali utakuwa umempata Koffi kwa 80%

Na Wengine Wengi, Lakini baadhi Yao ni Jean Marie Mukulasie, Bakari Manyiema, Koko Mongo Simba. Bi Salome Jose kosesa a.k.a (Mourinho).J.J Alinas. Ngaiwa Imboka, Jean Marie Nkubala, Roger bukana, Floyd Masamba, Fading Mamona, Blaise Samba na wengine Florente Ditovelle Mangani Gadi Ramadhani. Na wengine.

Bila kuwasahau watoto wake wapenzi
1-Didi Stone Olomide (Washington)
2-Del Piero Mourinho Olimide
3-Minou Olomide
4-Aristote Olomide
5-Rock Olimide.

GAVANA@2025

Mi nataka kumuona Mshana Jr akiwa amepozi na mkewe😁
 
"Miss des Miss" ni nyimbo anamsifia mke wake Mama wa DiDistone, alieishi nae miaka mingi ambae alikuwa mrembo kwelikweli. Mopao alinasa kweli kweli hapo. Kama wewe sio mhenga huyo mwanamke ndio yule anaonekana kwenye "Danger De Mort" anatoka kama chumbani hivi kavaa ka kitenge, coridoni anamkumbatia Mopao. Ni chuma kwelikweli. Mopao kama alivyo mkongoman yeyote anapenda mwanamke mzuri.
Wametarikiana juzi tuu hapo Paris.
yule chuchu zimesimama 😁,
ila Mopao mshenzi sana mamaeee
ile ngoma noma sana, Fally ipupa na mwenzie Fere Gola wanakatika miuno 😆
 
Huyu Cindy kuna nyimbo kaimba na Koffi ana kasauti fulani ni nyoko aseeh. Sikuwahi kudhani ni mke wake, wamekutana wote wanajua kuimba bhana.
Cindy siyo poa hata kidogo. Aliingia kwenye kundi kama mwanamuziki wa kawaida! Ila kidogo kidogo akaanza kupanda cheo mpaka kufikia cheo cha juu kabisa cha kuwa Bosslady wa kundi.

Unaambiwa Mzee Baba Koffi humwambii kitu kwa Cindy. Yaani kama mimi tu huniambii kitu kwa babe wangu SweetyCandy!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom