Heshima kubwa kwako Mkuu, naamini hata hilo jina lako Chivundu umelitoa kwenye kibao cha Loi pale kwenye kibwagizo anasema Chiiivunduuuuuu
Ha ha ha. Pamoja sana mkuu.
Utamsikia Koffie mbele hapo, anasema "Nakobanga mino tee, nakobanga nzambe na ngai, hallelujah. Anasema "Simuogopi mtu yeyote, namuogopa Mungu tuu".