Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

Ni sahihi mkuu, japo umemsahau Marehemu AHMED BAKAYOKO aliyekuwa PM Ivory Coast. Mapenzi yangu kwa Muziki wa Koffii ni makubwa sana. I grew up listening to his music.
Tunaweza kuzungumza kila albam ya Koffie kwa miaka yote 40 ya carrier yake, tusiache kitu. 😁
 
Bila shaka ni braza angu wewe, heshima yako kaka.....hivi huyu mwamba hajawahi kuoa?
 
Bila shaka ni braza angu wewe, heshima yako kaka.....hivi huyu mwamba hajawahi kuoa?

Ndio mi mkubwa kwako, 1994 album Maggie inatoka mimi nina akili zangu timamu na Disco naenda.

Koffii ameoa mara tatu, alimuoa Marianne Makosso, wakazaa watoto watatu. Badae Stephanie Godie nae akapata nae watoto wawili, wakatemana.
Badae 1994, akamuoa kwa urasmi kabisa Alliane, mrembo mkali sana mama yake Didistone. Wanasema huyu ndie mwanamke ambae V12 alimpenda zaidi kiasi cha kumtungia nyimbo mbalimbali. Sikiliza "Miss des Miss" toka kwenye Album Noblesse Oblige, 1994. Walidumu miaka kibao wakaachana 2021 juzi tuu hapo.

Huyo Cindy ni hawala/kimada yaani extra marital. Bado mtu mzima hajamwaga wino hapo mzee. Anapiga tuu. 😁
 
hili tukio lilinifanya kumchukia kbs huyu mzee anaonekana ni mpenda sifa, anajskia, jeuri, ana dharau sn, mpelekeshaji.
Mkuu unamchukia kwakuwa alimpiga mwanamke au kumpga hadharani. Nkweli Mopao anasifa za ubabe lakin lile tukio ni ile ya hasira hasara yaweza mtokea yeyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom