Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,337
Dah! I'm out aisee!Noma.Tatizo upweke halafu hali ya hewa ndio hii🤣
Dah! I'm out aisee!Noma.Tatizo upweke halafu hali ya hewa ndio hii🤣
Hunaga akili ingawa unadhani unazo. Nimeshangaa umepost uharo bila kujiridhisha na unachopost kama ni sahihi.Sometimes unakuwa kama demu aliyepigwa kibuti au ambaye yuko kwenye siku zake😂😂🤣
Mzee anajua sana kuchaguaWana mtoto mmoja ni copy & paste ya Koffi. Ila kiukweli kwa jinsi Youyou Tshivundu alivyokuwa enzi zake hata mimi nisingemwacha. Alikuwa ni kisu hatari.
Nimemmisi Sana huyu Mzee, hivi anaendelea kutoa huduma?Itakapotimia saa mbili na nusu tutajiunga na idhaa ya KBC Nairobi Kenya kumsikiliza Pastor Piusi Mwiru
Hahaha 😂 Mkuu hata wewe usingemruhusu kutumbuiza kwa sababu ule mkwaju alioachia katika makalio ya yule binti ulishika headline kote nchini Kenya.YEs na hata tamasha likaishia hapo hakutumbuiza tena.
Sijajua kk kwa sababu ni muda sija itegea sikio KBC Taifa, sauti ni ya mkenya 😂.....Nimemmisi Sana huyu Mzee, hivi anaendelea kutoa huduma?
Yule Mzee alijua kuimiliki kipaza Sauti na Iie sauti yake ya zege.Sijajua kk kwa sababu ni muda sija itegea sikio KBC Taifa, sauti ni ya mkenya 😂.....
Tanzania napo radio zikawa nyingi plus wachungaji kila upande nadhani kama yupo anahudumu zaidi Kenya japo ni muda sasa
Amina Amina...... KBC Taifa ilivuma sana vilevile citizens chemchem ya ukweli, na miss oldies kwakweli siku hz radio ni mapenzi tuu hamna Cha maana na kuongelea celeb aan tafrani plus yanga na simbaYule Mzee alijua kuimiliki kipaza Sauti na Iie sauti yake ya zege.
Mungu amlinde.
Mkuu ilikuwa ni ngori, redio zikuwa ndo habari ya mjini.Amina Amina...... KBC Taifa ilivuma sana vilevile citizens chemchem ya ukweli, na miss oldies kwakweli siku hz radio ni mapenzi tuu hamna Cha maana na kuongelea celeb aan tafrani plus yanga na simba
Mkuu ilikuwa ni ngori, redio zikuwa ndo habari ya mjini.Amina Amina...... KBC Taifa ilivuma sana vilevile citizens chemchem ya ukweli, na miss oldies kwakweli siku hz radio ni mapenzi tuu hamna Cha maana na kuongelea celeb aan tafrani plus yanga na simba
Yeaaaah huo wa mon bonheur asee cindy aliua aseeeHuu wimbo naweza kuurudia mara nyingi na usinichoshe .Mwingine ni Mon Bonheur,Cindy anamuimbia Koffi.Wimbo mzuri sana
Halafu pia kuna mkongoman aliwahi niambia Adolf muteba Tshilamwina alifariki.Mwongo mkubwa wewe. Kama kitu hujui uwe unauliza. Mambo mengi umeandika uongo mtupu kama stori za vijiweni.
1. George Weah anayetajwa na Koffi ni huyu mchezaji na rais wa zamani wa Liberia. Koffi hajawahi na hana Mtayarishaji wa muziki mwenye hilo jina.
2. Tatcho Mbala ni mjasiriamali na mfanyabishara wa DRC na sio music producer.
3. Bestine Kazadi ni waziri huko DRC na Sandra Kazadi ni mpwa wa Koffi. Hawamfadhili pesa Koffi.
Htre sana mkuu..... sio sasa mambo ni utopoloMkuu ilikuwa ni ngori, redio zikuwa ndo habari ya mjini.
😎😁😁😁😁😁Mi nataka kumuona Mshana Jr akiwa amepozi na mkewe😁
Ninapousikiliza wimbo wake “Loi” kuna kipande anasema “Tshivundu” nakua nakumbuka ID yako.. au nikiona ID yako nakumbuka hicho kipande kwenye huo wimbo😅
yule chuchu zimesimama 😁,
ila Mopao mshenzi sana mamaeee
ile ngoma noma sana, Fally ipupa na mwenzie Fere Gola wanakatika miuno 😆
Nlitaka kuuliza Cindy kaolewa lini maana muda wanaimba wote ila.za chini ni kua Mopao anamega kisela. Ila ya kuitwa mke ndio nimeona hapa.Huyo Adoph Chilawina si ndiye aliyedakwa Spain kwa kasafirisha sembe?.