Kocha wa Timu ya Taifa ya England ajiuzulu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,085
1,767
Gareth Southgate ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama meneja wa timu ya taifa ya England baada ya kuwa madarakani kwa karibu miaka minane.

Southgate, ambaye alianza kazi yake mwaka 2016, ameiongoza England hadi fainali ya Euro 2024 na nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2018.

Shirikisho la Soka la England (FA) limemshukuru kwa mchango wake mkubwa na litaanza mchakato wa kutafuta mrithi wake mara moja
 
Back
Top Bottom