Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

Watanzania mnapenda kusikia majibu marahisi kwenye maswali magumu. Hamtapata majibu sahihi ya maswali yenu mpaka mtakapopata ujasiri wa kusikia majibu magumu ya maswali yenu.

Huu utetezi hauna mashiko. Yanga ina vyanzo vya pesa vya kuiingizia zaidi ya shilingi bilioni 10 kwa mwaka.
 
Mkuu, Ukitoa mfadhili mapato ya Club ni zawadi za kufanya vizuri na matangazo. B10 kwaka Yanga bila mfadhili itatengeneza kwa kutumia hayo matangazo?
 
Watanzania mnapenda kusikia majibu marahisi kwenye maswali magumu. Hamtapata majibu sahihi ya maswali yenu mpaka mtakapopata ujasiri wa kusikia majibu magumu ya maswali yenu.

Huu utetezi hauna mashiko. Yanga ina vyanzo vya pesa vya kuiingizia zaidi ya shilingi bilioni 10 kwa mwaka.
Hivi viweke wazi hapa tuone
 
Usitugaslight, hersi kazingua. Yanga ifungiwe.

1000504098.jpg
 
Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo

Vilabu vyetu hivi vya soka vingi vinaongozwa na wafadhili na wadhamini, hawana vyanzo vya uhakika vya kuwaingizia mapato binafsi kama wao

Kilichotokea kwenye ile harambee ni michezo michafu ya kisiasa kupitia makundi yanayosigana kuelekea uchaguzi mkuu ili kuonesha kuungwa mkono kwenye kila kaliba

Kundi maarufu la wanamtandao waliopewa jina la wahuni ndio wamecheza mchezo huo mchafu kupitia kada wa CCM ambaye pia ni rais wa YANGA.

Huyu kwa kujua ama la akatwishwa zigo la kutangaza kiwango tajwa kuwa kimechangwa na Yanga (Young African Sports Club)

Nina hakika hakuna mwana Yanga kupitia viongozi wao aliyeshirikishwa kwenye hili.. Wote walishangaa tu kama wengine

Rai yangu kwa wana Yanga

Msiharibu mali za club, msichome moto jezi zenu kuonesha hasira na kutokubaliana na kilichofanyika.. Klabu yenu ni nzuri sana ikikaa mbali na wanasiasa.. Michezo ni furaha.. Siasa ni fadhaa!

Jipangeni mshikamane mumuwajibishe rais wenu! Huyu ndiye mchawi wenu.. Mumbane kupitia njia sahihi aseme alipata wapi hizo hela na ni nani alimpa mamlaka ya kuihusisha klabu na harambee ya kisiasa

Kwenye hili sisi SIMBA tunaweza kushirikiana nanyi kukomesha tabia hii mbovu ya wanasiasa wachovu kuvitumia vilabu vyetu kwa maslahi binafsi

Sisi SIMBA tunaojitambua tuko na Wana Yanga wote waliokasirishwa na tukio la harambee na tutakuwa nao bega kwa bega mpaka wanasiasa wakae mbali na michezo
Mkuu MshanaJr
Nimesoma passage na nimeona nikuunge mkono kukemea wanasiasa kutumia majukwaa ya soka kufanikisha malengo yao.

Kuhusu michango, waache watafunane maana huu upuuzi wanauendekeza sana wanasiasa. Hersi alitaka kugombea Ubunge kuwakilisha CCM na siyo wapigakura wala WanaYanga
 
Anajipendekeza ccm ikishinda walau aambulie teuzi
 
Zile figure wanakubandikia tu, usishangae kukuta Vishu Mtata achangua milioni 100.

Pesa walikua nayo ila majina ya wachangiaji ndo walikua hawana.
 
Hili jambo halina kipengele, ni wamechangia fullstop.
 
Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo

Vilabu vyetu hivi vya soka vingi vinaongozwa na wafadhili na wadhamini, hawana vyanzo vya uhakika vya kuwaingizia mapato binafsi kama wao

Kilichotokea kwenye ile harambee ni michezo michafu ya kisiasa kupitia makundi yanayosigana kuelekea uchaguzi mkuu ili kuonesha kuungwa mkono kwenye kila kaliba

Kundi maarufu la wanamtandao waliopewa jina la wahuni ndio wamecheza mchezo huo mchafu kupitia kada wa CCM ambaye pia ni rais wa YANGA.

Huyu kwa kujua ama la akatwishwa zigo la kutangaza kiwango tajwa kuwa kimechangwa na Yanga (Young African Sports Club)

Nina hakika hakuna mwana Yanga kupitia viongozi wao aliyeshirikishwa kwenye hili.. Wote walishangaa tu kama wengine

Rai yangu kwa wana Yanga

Msiharibu mali za club, msichome moto jezi zenu kuonesha hasira na kutokubaliana na kilichofanyika.. Klabu yenu ni nzuri sana ikikaa mbali na wanasiasa.. Michezo ni furaha.. Siasa ni fadhaa!

Jipangeni mshikamane mumuwajibishe rais wenu! Huyu ndiye mchawi wenu.. Mumbane kupitia njia sahihi aseme alipata wapi hizo hela na ni nani alimpa mamlaka ya kuihusisha klabu na harambee ya kisiasa

Kwenye hili sisi SIMBA tunaweza kushirikiana nanyi kukomesha tabia hii mbovu ya wanasiasa wachovu kuvitumia vilabu vyetu kwa maslahi binafsi

Sisi SIMBA tunaojitambua tuko na Wana Yanga wote waliokasirishwa na tukio la harambee na tutakuwa nao bega kwa bega mpaka wanasiasa wakae mbali na michezo
Kwa kuwa ameitangaza hadharani, hana tena namna ya kuikwepesha hiyo hela katika taarifa ya mwaka ya mapato na matumizi, vinginevyo kwenye auditing lazima ataingia matatani
 
Unajifurahisha au unafanya upotoshaji?

Fahamu yafuatayo:
1. Imetangazwa wazi kuwa Yanga,kama club, ndiyo iliyochangia.

2. Hata kama pesa ikawa imetolewa na wafadhili, ikapelekwa Yanga, halafu ndiyo ikapelekwa CCM, bado ni sahihi kutamka kuwa ni CCM imechangia. Ni sawa na wewe ukatoa pesa ukampa mkeo, mkeo akachangia kwenye kitchen party, bado itakuwa ni kweli na sahihi kuwa hiyo mkeo ndiye aliyechangia huko kitchen party.

3. Kudhihirisha kuwa ni kweli Yanga imechangia hiyo pesa CCM, umemsikia kiongozi yeyote akikanusha? Kama viongozi wa Yanga hawajakanusha, wewe unautoa wapi huo uhalali wa kusema siyo Yanga iliyochangia?
 
Na je body ya wadhamini wanajua? Mweka hazina je!?
 
Yanga si jiwe bali Yanga ni timu ya soka.....na timu ya soka ni watu....na hili kukamilisha na kutekeleza yaliyokusudiwa kwenye timu lazima kuwe na viongozi wanaosimamia na kuiwakilisha timu kwenye mambo na masuala mbali mbali ya kisoka......

Kama ambavyo tunasikia na kuona kuwa klabu ya Yanga Imetoa lambi lambi, klabu ya Yanga imekemea au klabu ya Yanga Imetoa shukrani kuhusu mambo kadha wa kadha kwenye masuala ya soka na mengine ya kijamii na kuipongeza kwa kuwa tuna amini kuwa kweli ndio imefanya hivyo.....

Basi na hili pia baada ya raisi wa klabu kusimama na kutamka kuwa klabu ya Yanga imechangia CCM kiasi cha 100m tunaamini kina baraka za Yanga kama klabu kwa kuwa yule kaenda pale kama raisi wa Yanga na sio Hersi na matamshi yake yamedhihirisha hivyo!!!
 
Unajifurahisha au unafanya upotoshaji?

Fahamu yafuatayo:
1. Imetangazwa wazi kuwa Yanga,kama club, ndiyo iliyochangia.

2. Hata kama pesa ikawa imetolewa na wafadhili, ikapelekwa Yanga, halafu ndiyo ikapelekwa CCM, bado ni sahihi kutamka kuwa ni CCM imechangia. Ni sawa na wewe ukatoa pesa ukampa mkeo, mkeo akachangia kwenye kitchen party, bado itakuwa ni kweli na sahihi kuwa hiyo mkeo ndiye aliyechangia huko kitchen party.

3. Kudhihirisha kuwa ni kweli Yanga imechangia hiyo pesa CCM, umemsikia kiongozi yeyote akikanusha? Kama viongozi wa Yanga hawajakanusha, wewe unautoa wapi huo uhalali wa kusema siyo Yanga iliyochangia?
Hakuna mahali popote nimefanya upotoshaji labda kama tu hukuelewa nilichoandika
 
Na je body ya wadhamini wanajua? Mweka hazina je!?
Mimi nadhani nadhani mambo ya bodi na mweka hadhina ni mambo ya ndani ya klabu.....na tunaamini mambo yoyote ya klabu yanayotokea au kuhusishwa na klabu na kuwekwa wazi kwenye halaiki yana baraka za klabu kupitia hao watu wa klabu.....

Baraka za body ya klabu au wadhamini kwenye hili linajidhihirisha kwenye ukimya wao kwenye suala linaloleta mkanganyiko na hata kutishia mustakabali mzima wa klabu Yao!!!
 
Back
Top Bottom