Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

Ukipenda ndugu msomaji unaweza kurudia kusoma kwa utulivu nilichoandika..lakini pia ukumbuke Yanga ina msemaji wakeView attachment 3440484
Huyu Hersi ashakuwa kama mwendawazimu tangu alipokurupuka kumfukuza Gamondi
Naonaga kama hana utimamu..na wanamjaza bichwa kama ooh you're smart ila jamaa hata ukimkalisha mezani kwa mahojiano ni mweupe sana na mihemko kama yote.
 
Huyu Hersi ashakuwa kama mwendawazimu tangu alipokurupuka kumfukuza Gamondi
Naonaga kama hana utimamu..na wanamjaza bichwa kama ooh you're smart ila jamaa hata ukimkaliaha mezani kwa mqhojiano ni mweupe sana na mihemko kama yote.
Wajumbe wa kura za maoni ni watu wabaya sana! Wamemla halafu wakamnyima kura😂
 
Huyu Hersi ashakuwa kama mwendawazimu tangu alipokurupuka kumfukuza Gamondi
Naonaga kama hana utimamu..na wanamjaza bichwa kama ooh you're smart ila jamaa hata ukimkaliaha mezani kwa mqhojiano ni mweupe sana na mihemko kama yote.
Injinia wa mchongo
 
Kapost gazeti la mwaka 1957 lenye title "Yanga waichangia chama Cha ukombozi (TANU) Tsh 10,000
Kisha yeye kamaliza kwa kusema kuwa suala la yanga kuchangia halijaanza leo
Kisha wanachama wakaanza kuchoma jezi.. Hicho alichofanya ni utetezi wa kindezi sana!
 
Huwezi kuongea chochote ukaeleweka, ule mchango kama ilivyotaja ni klabu ya Yanga imechangia.

Upopoma wa hali ya juu!!
 
Huwezi kuongea chochote ukaeleweka, ule mchango kama ilivyotaja ni klabu ya Yanga imechangia.

Upopoma wa hali ya juu!!
Upopoma wa hali ya juu!! Mimi🥺🥺 au yanga😎 au sote😩
 
Rais wao anasimama anasema sisi kama yanga tumechangia 100M arf unakuja kupinga ,ndg mwandishi unabisha Nini Kwan ww ulikuwepo?
Mfano kama wengi wanavyohusisha FIFA je FIFA kama watachunguza ushahidi utakuwa maneno ya Hersi au transaction?
 
Back
Top Bottom