Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Hongera Sana

Asante

IMG_20210213_051618.jpg
 
Bilashaka itakua historia ya buza
historia inasema wananchi ndio club ya kwanza kufika robo fainala ligi ya mabingwa afrika

historia inasema wananchi ndo club ya kwanza kuingia makundi club bingwa afrika
Historia inasema kwa soka safi la wananchi ilibidi hadi irushwe shilingi yanga vs asante kotoko ili kumpata mshindi wa kuendele nusu fainal.

kama paka fc tu hawezi fikia rekodi hizo itakuwa Namungo mkuu acha utani.
 
Mshabiki wa Simba kubishana mambo ya soka na Yanga ni matumizi mabaya ya muda......Simba tunatakiwa kubishana mpira na timu kama As vita, el mereikh, Mamelod na wengine tunaoshiriki nao LIGI ya mabingwa......Yanga waacheni wabishane Dodoma Jiji, Mbeya City na Kagera Sugar.....ndio saa hizi.....Simba kama Simba tunawaza mambo makubwa kama vile kuchukua Club bingwa au Club bingwa dunia.....
 
historia inasema wananchi ndio club ya kwanza kufika robo fainala ligi ya mabingwa afrika

historia inasema wananchi ndo club ya kwanza kuingia makundi club bingwa afrika
Historia inasema kwa soka safi la wananchi ilibidi hadi irushwe shilingi yanga vs asante kotoko ili kumpata mshindi wa kuendele nusu fainal.

kama paka fc tu hawezi fikia rekodi hizo itakuwa Namungo mkuu acha utani.
Historia inasema au Mwakalebela ndio anavyowaambia?

Weka hapa kundi lenu mlilopita kwenda robo.
 
Back
Top Bottom