Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Historia inasema au Mwakalebela ndio anavyowaambia?

Weka hapa kundi lenu mlilopita kwenda robo.
unafahamu mfumo wa makundi umeanza lini kabla ya mfumo wa makundi wafahamu hali ilikuwaje

Unafahamu kabla ya ujio wa mfumo wa penati ilikuwa ni kurusha shilingi na mechi ya kufuzu baina ya wananchi na asante kotoko ilitumika

mfumo wa makundi umekuja juzi kati we mbumbumbu fc
 
Mshabiki wa Simba kubishana mambo ya soka na Yanga ni matumizi mabaya ya muda......Simba tunatakiwa kubishana mpira na timu kama As vita, el mereikh, Mamelod na wengine tunaoshiriki nao LIGI ya mabingwa......Yanga waacheni wabishane Dodoma Jiji, Mbeya City na Kagera Sugar.....ndio saa hizi.....Simba kama Simba tunawaza mambo makubwa kama vile kuchukua Club bingwa au Club bingwa dunia.....
uchukue club bingwa labla club bingwa ya simba super cup
 
unafahamu mfumo wa makundi umeanza lini kabla ya mfumo wa makundi wafahamu hali ilikuwaje

Unafahamu kabla ya ujio wa mfumo wa penati ilikuwa ni kurusha shilingi na mechi ya kufuzu baina ya wananchi na asante kotoko ilitumika

mfumo wa makundi umekuja juzi kati we mbumbumbu fc
Kapambane na Ihefu kwanza ndio level yenu UTO P nyie
 
Lesson 3: Numbers (1-10)
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
Tutaanza kuhesabu leo vizuri saa kumi jion, karibu darasani
Mkuu umefika wapi na hesabu zako 🤣🤣🤣
 

24 February 2021​

Al Ahly's Delegation Arrives in Cairo​

82BCB542-7710-4DA2-9526-7DBB61DA5ABB-6035937b3d3e0.jpeg

AL Ahly first-team delegation arrived in Cairo following our game against Simba SC of Tanzania in the CAF Champions League group stage.

The Red Eagles headed to Dar es Salaam airport after the match, in order to start the journey back to Cairo.
Also, our head coach Pitso Mosimane stated that the team has four remaining games in the group stage, adding that the team will fight to reach the next round.

2021/02/24

Mosimane: Our Focus Now Is on Tala'ea El Gaish SC’s Game​

DSC_2389-5fede5efb06f0.JPG

Al - Ahly head coach Pitso Mosimane said the coaching staff focuses on preparing the players for the upcoming match against Tala'ea El Gaish SC in the Egyptian League.

“I am now focusing on preparing the players physically and mentally for the game against El Gaish SC after the tough journey to Tanzania. We will start preparing for the game against AS Vita Club after the game against El Gaish SC.”

“We analyzed Simba SC very well and we decided to start the game with three midfielders, who can play both attacking and defensive roles, especially that we played in very hot weather, with high levels of humidity.”

“Simba SC had a good game but we deserved a better result. We had three scoring chances in the first half as well as several scoring chances in the second half but we failed to score.”

“We played two matches in the group stage and we still have four remaining matches. We will fight to secure qualification to the quarter-finals.”
Source : Mosimane: Our Focus Now Is on Tala'ea El Gaish SC’s Game

2021/02/24​

Al Ahly Players to Receive Third Malaria Medication on Friday​

IMG-20210120-WA0007-60083f09986a5.jpg

Al-Ahly first-team players will receive the third dose of malaria medication on Friday.
The head of medical staff, Dr. Ahmed Abo Abla previously set three doses for all the players that traveled to Tanzania. The players already received two doses and they will take the third dose on Friday.
Al Ahly's delegation in Tanzania returned back to Cairo in the early hours of Wednesday morning after facing Tanzania's Simba SC in Matchday 2 of the CAF Champions League.
Source: Al Ahly Players to Receive Third Malaria Medication on Friday
 
23 February 2021

Al Ahly Yaonekana Airport DSM ikiondoka kwa simanzi kubwa



Ona hali halisi timu ya Al Ahly ikisubiri kupaa na ndege toka Airport DSM baada ya kipigo toka Simba SC. Huku huko nyumbani ikisubiriwa wanahabari za michezo yakijaribu kusoma lugha ya mwili ya wachezaji wa Al Ahly na hatima yao katika michuano hii ya CAF

Source : Al Ahly TV
 
unafahamu mfumo wa makundi umeanza lini kabla ya mfumo wa makundi wafahamu hali ilikuwaje

Unafahamu kabla ya ujio wa mfumo wa penati ilikuwa ni kurusha shilingi na mechi ya kufuzu baina ya wananchi na asante kotoko ilitumika

mfumo wa makundi umekuja juzi kati we mbumbumbu fc
Wacha kurukaruka sema ni mwaka gani mumefika hiyo Robo Fainali.
 
mkuu mimi nijistukie naanzaje kwanza yaani mwananchi mwenye historia yake nijistukie kisa paka kamfunga al ahly

mkuu una utani.

Sasa Naomba nyinyi endeleeni na na kutunza Historia wakati sisi tunafanya yetu uwanjani.
Nawashauri hiyo timu yenu ya Historia SC ingechapisha Kitabu kabisa cha Historia kusomeshwe Mashuleni ili Watoto wenu wasijeisahau historia yenu.
 
Simba ndio timu pekee ya Tanzania kufika Nusu fainali ya klabu bingwa ya Africa mwaka 1974.
Mechi ya kwanza Simba dhidi ya Mehalla el Kubra Simba alishinda goli moja bila goli lilofungwa na Marhum Saad Ali katika dakika ya 89.
Mechi ya pili huko Misri alifungwa goli moja na zikapigwa penalti na Simba kutolewa baada ya vurugu kubwa kutokea. Bendera ya Tanzania ilichanwa na golikipa marhum Athumani Mambosasa kutishiwa maisha kwa mashabiki kuingia uwanjani.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom