Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Dstv inaoneshwa channel namba ngapi mkuu?
270 jifunzeni kuwauliza dstv game zinapoanza au siku husika wanakujibuni tu kama hivi
 

Attachments

  • Screenshot_2021-02-23-15-45-34-474_com.facebook.orca.jpg
    Screenshot_2021-02-23-15-45-34-474_com.facebook.orca.jpg
    98 KB · Views: 2
Simba wapo porini tu hawa wa mjini ni paka

Tutaongea jioni asanteni.
 
Niwadokeze kidogo, weka 500,000 ubeti Al ahly anashinda, jioni ukunje milioni na ushee
 
Back
Top Bottom