MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Kukaa Kimya ndiyo jibu sahihi kwa wapumbavu!Haziwezi kuwa porojo na kwa ubaya wa hizo porojo,mtumishi wa kiroho akakaa kimya kiasi cha kutiliwa shaka kubwa.
Porojo hizi zina chembe chembe za ukweli ndani yake na ndiyo maana mchunga kondoo amekubali kuwa kimya ahukumiwe kwa namna yoyote ili YAISHE(YESHEEE)
Biblia inasisitiza sana kuhusu kumjibu Mpumbavu kwa kukaa kimya!