Acha upuuzi sasa kama laki inakushinda utaweza kuishi na mke.?Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
Kawaida sana!!! jipange.King'asti mie naona mnachanganya kitu hapa. Ndoa inafungishwa na kanisa kwa mujibu wa sheria za nchi. Kile kitabu chenye vyetu vya ndoa kinachukuliwa kwa mkuu wa wilaya au mahakamani, na kinalipiwa BAADA ya kumaliza vyeti vyote.
Kwa mujibu wa serikali., cheti cha ndoa ni 10,000/-Tsh. Hicho ni cheti na sio sadaka, jaribuni kutofautisha gharama za cheti na sadaka ya kushukuru. Mtu akifunga ndoa, anatoa sadaka ya kushukuru kanisani, analipia baadhi ya mapambo ya kanisa ili kufanikisha upambwaji wa kanisa.
Sidhani kama kanisa linamtendea haki kwa kuchaji 100,000/- kwa cheti tu. Alafu kumbukeni hiyo 100,000/- kwa baadhi ya watu ni pesa nyingi mno, hivi nyie hamuishi Tz...??
Kawaida sana!!! jipange.
Wewe tahira yale maji hayauzwi, unanunua CDs ndio unapewa anointing water , halafu utajua gharama za Usafiri za ndege au ulivozoea kupakia mihogo kwenye daladala utajua na kwenye ndege ni free
Acha upuuzi sasa kama laki inakushinda utaweza kuishi na mke.?
Mzee wa kanisa unaogopa kumwuliza mchungaji?Sasa wewe mzee wakanisa wa kazi gani! si bora uitwe mama wa kanisa sasa.Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
Hata ungefungia serikalin lazima ulipie cheti cha ndoa si chin ya elfu 50. So i gues ni sawa kwan sharika nyingine zipo kwenye ujenz na nn?
Napatwa na wasiwasi kuhusu wewe kujiita "Mzee wa Kanisa!" Inakuwaje hata hujui bei ya Cheti cha Ndoa kuwa ni 10,000/=? Acha kudanganya watu. Kama kweli kaambiwa hivyo tutajie ni usharika gani na wa wapi ili wahusika waje hapa JF kukanusha au kukubali!Mkuu Mungu alikupa akili itumie vema ! mimi nimeuliza swali kama huna jibu nyamaza! Mimi ni mLuther ila sijawhi shiriki kwa karibu katika michakato hii ,pengine ni sahihi au jamaa kadanganywa ! Ndio maana umeweka utambulisho wako hivo!
Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
Ahaaa! Kumbe sio mzee wa usharika bali mzee wa kanisa? What makes a difference there if you like to enlighten us please?Za LEO HILI NI JUKWAA HURU KWA NINI NISIULIZE HAPA ! JE NI SHARIKA ZOTE ZINAFANYA HIVI ! NASISISTIZA MIMI NI MZEE WA KANISA SIO WA USHARIKA!
Mzee wa kanisa unaogopa kumwuliza mchungaji?Sasa wewe mzee wakanisa wa kazi gani! si bora uitwe mama wa kanisa sasa.
Ahaaa! Kumbe sio mzee wa usharika bali mzee wa kanisa? What makes a difference there if you like to enlighten us please?
Mbezi ipi mkuu!dini yenu ina ujanja ujanja kama dalali wa mbezi
Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
10,000/ au 100,000/?maybe kuna typing error hapo