mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Humu ndani tunaye askofu mstaafu wa kanisa rafiki na KKKT anaitwa Honorable Mokiwa. Anajiitaga "Barafu" so tumsubirie huenda atanena jambo
Hakuna kitu kama hicho cheti cha ndoa ni tsh 11500 cha serikali vinakuwa viwili cha kanisa ni kimoja na kinauzwa tsh5000
Mi kweli mimi nimeoa mwezi wa 6 mwaka huu usharika wa sinza nimelipa laki 1 niliona kama maajabu ila nafikiri ni cost za kutumia kanisa siku ya harusi bei ya cheti na vitu vingine
Hesabu za fasta fasta
1: Bajaj au Boda 5,000
2: Vinywaji 20,000
3: Room standard 30,000
4: Asante yake: 20,000
5: Usafiri wewe: 20,000
6: condom: 1,000
Total ni Tshs 96,000
Hili ni kadirio la chini sana, rudia hili zoezi mara mbili hadi Tatu kwa mwezi changanya na zile siku ambazo uko na rafiki zako, ndio utaamini kuwa laki si pesa, million deni
Ni utaratibu tu. Mbona ukumbi mnachangia milion 6 na hamsemi, hii lak inayoingia kanisani kukuwekea mazingira mazuri kiroho ndo unaongea?. Mim sio Mluther lakn naona ulieandka hapa una kisa .
Amini ninachokuambia ameambiwa atoe laki moja
na Tayari ametoa advance nusu ! elfu hamsini!
Ni utaratibu tu. Mbona ukumbi mnachangia milion 6 na hamsemi, hii lak inayoingia kanisani kukuwekea mazingira mazuri kiroho ndo unaongea?. Mim sio Mluther lakn naona ulieandka hapa una kisa .
Waliokuchagua uwe mzee wao wa kanisa nadhani mpaka sasa wanajuta.mzee gani wa kanisa unaogopa kuongea na mchungaji wako?Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
Kwenye harusi huwa unachangia double tsh ngapi? Kwanini unahoji kuhusu sadaka ya kuendeleza kazi ya Mungu? Wewe unadhani umeme, maji, petroli ya mchungaji wako itoke wapi?? Nadhani wewe uliyetoa hii thread siyo mzee wa kanisa, ni mhuni tu unayeamua kukojolea wakiristo.Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
Waliokuchagua uwe mzee wao wa kanisa nadhani mpaka sasa wanajuta.mzee gani wa kanisa unaogopa kuongea na mchungaji wako?
Kwa kanuni za KKKT,mzee wa kanisa ni msaidizi wa mchungaji,jf siyo msaidizi wa mchungaji,
acha woga nenda ongea na mchungaji wako atakachokwambia,njoo nacho uombe ushauri.
Vinginevyo waambie waliokuchagua kuwa unamwogopa mchungaji wachague mzee mwingine.
Bei ya cheti cha ndoa ni shilingi elfu kumi tu (10,000/=) kama ilivyo kwenye vyeti vya ndoa vya serikali (Bomani)
Sadaka ni HIARI sio AMRI kwa maelezo ya jamaa km hana laki 1.hafungi NDOA