Huyu mtoa mada kwanza ni MUONGO kwa sbb
Amesema yy ni mzee wa kanisa.Km ni kweli wala asingeleta huu uzi hapa amemuuliza mchungaji au angemshauri muoaji akaulize cha kushangaza anaogopa mpigia cm nchungaji.
Watu wanavozidi kumhoji anaongezea kwamba kalipa nusu ya hela.
Km ni mzee wa kanisa kweli yy na mchungaji kazi zao ni nn?.je mzee wa kanisa na mchungaji ni chui na paka?.Acheni utani.