Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa, hii ni baada ya kuishi katika ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho. Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti. Ameogopa akajua anaibiwa.
Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya.
Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!Tafadhali tuchangie kwa staha bila jazba.
Sawa tu,mbona pombe mnanunua za mil.3?
Mbona pombe mtakunywa za mil.3?
Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa, hii ni baada ya kuishi katika ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho. Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti. Ameogopa akajua anaibiwa.
Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya.
Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!Tafadhali tuchangie kwa staha bila jazba.
kwa nini mnalinganisha mambo ya kijamii na huduma za kiroho ? sio kila mtu mwenye uwezo wa kununua hizo pombe.
kwa nini sacrament ya kanisa IUZWE ?
Nini kilimfanya Martin Luther kulihama Kanisa Katoliki na kuanzisha hili Kanisa ?
Ni haya ambayo yanahojiwa hapa.
Kanisa kuanza kuwekeza kwenye mambo ya kidunia ndiko kunaleteleza Ukengeufu wa kuanza kuuza huduma za kiroho.
Kanisa kuongozwa na wanadamu ambao mawazo yao yamejikita kuimarisha kesho ya kidunia ndiyo msingi wa Ukengeufu.
Kanisa limepoteza dira liko kwenye ushindani wa majengo mazuri na fahari za kidunia huku likijitenga na Kweli ya Bwana Wetu Yesu Kristo.
Waamuni wanatoa sadaka na matoleo mengi mengi kila wiki ni uwekezaji mbaya na priority za kidunia zinazofanya Kanisa lionekane linapungukiwa.
Hakika Kanisa limepoteza wito imebaki kuwa kijiwe cha kufarijiana ujinga...
kwa KKKT hawaiti sakramenti mkuu!
kwa KKKT hawaiti sakramenti mkuu!