KKKT: kufungisha ndoa mnatoza 100,000/=!

KKKT: kufungisha ndoa mnatoza 100,000/=!

Labda kweli maana makanisa yetu nayo haya ni shida siku hizi escrow
 
Mbuty usifikiri watu wote ni kama wewe kifikra ,au kiuchumi ! Sh.100,000/= ni hela nyingi kwa huduma hiyo ! Kumbuka hiyo ni ibada .Gharama za vyeti vyote angalau ingekuwa Sh.20,000/=Hebu fikiria kijana anayebangaiza atafunga ndoa kweli! Kama wewe una akili za kufanya ndoa kwa M30,000/=usihalalishe kanisa kuleta matolea ya kijinga namana hii ,ninachikiseamkipo KKKT DAYAOSISIS YA MASHARIKI ,NA RISITI WANATAOA YA DAYOSISI ......Afu unalinganisha ibada na Malaya wanaojiuza au harusi za pombe ......natakwambia neon baya wewe....!
Ndugu au jf great thinker! Habari yako inaonekana haina uchunguzi lakini umesha generalize! Unazungumzia ushirika fulani au kkkt yote Tanzania wana mfumo huo! Ok wakichaji wanakosa? Mbona pombe zinauzwa,mbona kuna wanauojiuza hadi kwa laki 5! Mbona kuna simu za mamilioni! Kwani sadaka ni ya nani? Mambo ya Mungu tunayapa ugumu wakati tunafanya harusi za Mil 30, angalia michango ya harusi na sadaka ya ndoa iliyotolewa siku ya harusi,utasikia 50k! Fanya utafiti ndio uongee tuelewe unamaanisha nini sio kusema eti kanisa linatoza hela! Uliza hizo gharama ni za nini,sababu gani then let's decide on those basics. Mtizamo wangu tu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mambo ya kanisani nije PM kufanya nini ! bei ya cheti laki moja! Jamaa akifungia ndoa usharika wake na hakukuwa na makeke wala kinanda hakikupigwa !
Hakuna malipo hayo isipokuwa bei ya cheti. Kuhusu laki moja inaweza kuwa kweli pia hasa pale ambapo mtu anaenda kufungia ndoa usharika ambao sio wake kwa vyovyote kuna gharama fulani hasa pale Azania Front mahali ambapo wengi wanapenda. Cost lazima ziwepo kwa sehemu fulani. Maelezo zaidi njoo PM
 
Wazee wa Kanisa ni zao la Bibilia ,Wazee wa Usharika ni ni zao la KANISA !
Hapo ndipo ninapoona utata wa hoja. Nilidhani kama ni usharika wa kanisa basi wazee hao wapo kwa miiko ileile iliyowekwa na kanisa la kibiblia. Haiwezekani Wazeewa Usharia katika Kanisa lenye imani inayoongozwa na Roho Mtakatifu kwa kufuata miongozo ya Biblia (Neno Takatifu la Mungu) wakawa ni kundi tofauti na pia wajibu tofauti na wazee wa Kanisa kwa tafsiri yako nadhani ni upotoshaji wa maudhui. Wanapowekewa mikono kuifanya kazi ya Uzee wa Kanisa katika usharika, tayari wanapaswa kuwa na hofu ya Mungu ndani yao kama uzao wa kibiblia. Tofauti na hapo ni udhaifu wa kiroho. Walawi kukataa kuhusika na TORATI ni ugonjwa mkubwa sana.
 
LAKI MOJA?! Mbona kawaida sana tu, tena ni hela ndogo ukilinganisha hela inayotumika kumshehekea shetani kwenye reception party. Laki Moja tu watu mnalalamika, wakati mnaenda kwenye reception ukumbi milioni moja, pombe hapo sijui milioni mbili. Tuchangie nyumba zetu za ibada, manake pale ndipo haswa ndo halali inapofungwa.
 
Bora aache kufunga ndoa kabisa! Kama laki moja imemtisha hivyo, rent itakuwaje, chakula je? Matibabu je? luku na maji je? usafiri je, school fees je? msaada kwa wakwe na wazazi wake je? Ndoa si lelemama wala kubangaiza ni responsibilities!
 
Sasa nimeamini,kwa maneno haya ni afadhali kubaki nyumbani.Madhehebu ni biashara tena ya vichaa.
Ndugu au jf great thinker! Habari yako inaonekana haina uchunguzi lakini umesha generalize! Unazungumzia ushirika fulani au kkkt yote Tanzania wana mfumo huo! Ok wakichaji wanakosa? Mbona pombe zinauzwa,mbona kuna wanauojiuza hadi kwa laki 5! Mbona kuna simu za mamilioni! Kwani sadaka ni ya nani? Mambo ya Mungu tunayapa ugumu wakati tunafanya harusi za Mil 30, angalia michango ya harusi na sadaka ya ndoa iliyotolewa siku ya harusi,utasikia 50k! Fanya utafiti ndio uongee tuelewe unamaanisha nini sio kusema eti kanisa linatoza hela! Uliza hizo gharama ni za nini,sababu gani then let's decide on those basics. Mtizamo wangu tu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Akafunge ndoa ofisini kwa mchungaji tena asubuhi hapo atalipia gharama za cheti 15000 maana imepandisha ila kama anataka kufungia kanisani basi ajipange maana gharama za kuendesha ibada ya ndoa nani analipa

Alafu wewe mzee wa kanisa umekosa maadili unauliza jambo kwenye mtandao si kwa nia ya kupata majibu bali ni kuchafua kanisa la kkkt

Ukitaka kujua matumizi ya 100000 nenda kwa mweka hazina na mchungaji hoji na imani kanisani kuna baraza la wazee toa hoja kuwa kiasi kinachotozwa ni kikubwa sio kuongea pembeni maana hutapata majibu sahihi

Watu kutoa 100000 kanisani mnaona big deal lakini kutoa kwenye madhabau ya shetani mnafurahia sana, kwa wakristu nawashangaa sana mjaribuni Mungu katika matoleo muone kama hamjabarikiwa
 
Kumbe unajua ZA LEO ,hapa tunazungumzia huo unaouita udhaifu wa kiroho ! Tozo hili ni kubwa sana ! Hii jni sakramenti takatifu kwa nini ilipiwe kiasi kikubwa cha fedha ....hivi unajua kuna watu wanalipwa mshahara 80,000/= atajibanaje apate ya ndoa ,wkati huo anadaiwa mahari,mara sadaka siku ya ndoa na vikolombwezo vingine kama harusi kama watumwanavyochangia humu...hili TOZO NI KUBWA ,HALIENDANI NA UHALISIA !TUSIOGOPE DINI NA MADHEHEBU YETU ! DUNIA IMEBADILIKA UNAWEZA UKAKUTA TUNAWAOGOPA WATU NA SI MUUMBA!
Hapo ndipo ninapoona utata wa hoja. Nilidhani kama ni usharika wa kanisa basi wazee hao wapo kwa miiko ileile iliyowekwa na kanisa la kibiblia. Haiwezekani Wazeewa Usharia katika Kanisa lenye imani inayoongozwa na Roho Mtakatifu kwa kufuata miongozo ya Biblia (Neno Takatifu la Mungu) wakawa ni kundi tofauti na pia wajibu tofauti na wazee wa Kanisa kwa tafsiri yako nadhani ni upotoshaji wa maudhui. Wanapowekewa mikono kuifanya kazi ya Uzee wa Kanisa katika usharika, tayari wanapaswa kuwa na hofu ya Mungu ndani yao kama uzao wa kibiblia. Tofauti na hapo ni udhaifu wa kiroho. Walawi kukataa kuhusika na TORATI ni ugonjwa mkubwa sana.
 
Gemela ni lazima tuhoji ,gharama gani za kuendesha ibada ya ndoa ! kwani si tunawalipa mishahara ...ibada ya ndoa ni dk zisizozid 40 ! kuna gharama gani special hapo! Kama wewe unatoa kwenye madan=bahu ya dini ni wewe ,wenzioza kuabiwa tuna changanya na zetu!
Akafunge ndoa ofisini kwa mchungaji tena asubuhi hapo atalipia gharama za cheti 15000 maana imepandisha ila kama anataka kufungia kanisani basi ajipange maana gharama za kuendesha ibada ya ndoa nani analipa

Alafu wewe mzee wa kanisa umekosa maadili unauliza jambo kwenye mtandao si kwa nia ya kupata majibu bali ni kuchafua kanisa la kkkt

Ukitaka kujua matumizi ya 100000 nenda kwa mweka hazina na mchungaji hoji na imani kanisani kuna baraza la wazee toa hoja kuwa kiasi kinachotozwa ni kikubwa sio kuongea pembeni maana hutapata majibu sahihi

Watu kutoa 100000 kanisani mnaona big deal lakini kutoa kwenye madhabau ya shetani mnafurahia sana, kwa wakristu nawashangaa sana mjaribuni Mungu katika matoleo muone kama hamjabarikiwa
 
Gemela ni lazima tuhoji ,gharama gani za kuendesha ibada ya ndoa ! kwani si tunawalipa mishahara ...ibada ya ndoa ni dk zisizozid 40 ! kuna gharama gani special hapo! Kama wewe unatoa kwenye madan=bahu ya dini ni wewe ,wenzioza kuabiwa tuna changanya na zetu!

Unamlipa mchungaji mshahara kwa njia gani?

Unajua umeme unaotumika kanisani, incase umeme umekatika, upambaji na usafi kuna ndugu wa maharusi wanafanya hizo shughuli? Mkitaka gharama zipungue fanyeni kama kenya siku ya harusi mapambo na kusafisha kanisa ni kazi ya wenye harusi,

Kuna msemo kila mbuzi atakula kwa uwezo wa kamba yake alf inaonekana wewe ndio bwana harusi mtarajiwa na kama umechukia nenda usharika wako ukasemezane na mchungaji wako na baraza la wazee wa kanisa
 
mh naona wewe ni mzee wa usharika si wa kanisa! Ahsante kwa taarifa ,cheti cha ndoa laki moja ! Haya bhana wahi nyumbani ukajiandae kuandika matangazo ya jumapili hizo ndio kazi zenu wazee wa usharika ...sisi wazee wa kanisa lazima tuhoji ili tusije enda tofauti na imani ya kristo!

Mtumishi,

Ni kweli toka moyoni mwako unaamini JF ni mahali sahihi pa kuuliza swali lako hili?

Barikiwa.
 
Gemela ni lazima tuhoji ,gharama gani za kuendesha ibada ya ndoa ! kwani si tunawalipa mishahara ...ibada ya ndoa ni dk zisizozid 40 ! kuna gharama gani special hapo! Kama wewe unatoa kwenye madan=bahu ya dini ni wewe ,wenzioza kuabiwa tuna changanya na zetu!

Ndugu,

Nimefuatilia uzi huu tangu mwanzo na napata mashaka juu ya dhamira yako ulipokuwa unauanzisha uzi huu. Kama dhamira yako ilikuwa njema, ningetegemea ungemuuliza mchungaji wako. Kama huyo unamuogopa, hata basi wazee wenzako wawili watatu ili kuweza kutafuta majawabu kuhusiana na hili. Kwa kufanya hivi sisi huku JF wala tusingejua na pia ungekuwa umesaidia si tu kanisa basi imani ya kikristo baada ya wahusika kuacha kufanya jambo hilo kama linafanyika kimakosa.

Kwa kulileta JF, tazama wengine si tu wanadhihaki kanisa lakini hadi imani nayo haiwezi kuachwa, inadhihakiwa. Je, hili ndilo ulilolitaka toka ndani ya moyo wako, ndugu yangu?

Uzee wa kanisa ni utumishi mkubwa sana ambao kama hutokuwa mwangalifu unaweza kukuletea shida ambazo pengine usingezipata kama usingekuwa mzee wa kanisa. Kila siku kumbuka kuwa mwenye imani yake yupo na anaona yote tunayoyafanya.

Tafakari.
 
Kumbe unajua ZA LEO ,hapa tunazungumzia huo unaouita udhaifu wa kiroho ! Tozo hili ni kubwa sana ! Hii jni sakramenti takatifu kwa nini ilipiwe kiasi kikubwa cha fedha ....hivi unajua kuna watu wanalipwa mshahara 80,000/= atajibanaje apate ya ndoa ,wkati huo anadaiwa mahari,mara sadaka siku ya ndoa na vikolombwezo vingine kama harusi kama watumwanavyochangia humu...hili TOZO NI KUBWA ,HALIENDANI NA UHALISIA !TUSIOGOPE DINI NA MADHEHEBU YETU ! DUNIA IMEBADILIKA UNAWEZA UKAKUTA TUNAWAOGOPA WATU NA SI MUUMBA!
Nikiri kwamba uchungaji sijasomea na wala sijafikiria kusomea. Nilikataa mapema nilipochagizwa kuusomea, kwa sababu zangu binafsi ikiwa ni pamoja na kujiona udhaifu wangu kwamba sikutaka kuwa mchungaji wa kiusanii. Hapa jamvini kuna watu ambao ni professional wachungaji na wengine ni wachungaji kiutumishi kabisa. Waje hapa watoe ufafanuzi wasikwepe wajibu wao. Harusi yangu Enzi hizo za kale sikudaiwa hata senti moja. Hata cheti cha ndoa nadhani walilipia kutokana na sadaka za siku hiyo. Kama kweli kuna tozo la laki moja hata kama huna uwezo lazima isemwe hapa kama hiyo hela inaenda serikalini kwa mtunza takwimu za ndoa na vizazi na vifo au imekaaje. Kwa kuwa sielewi kama tozo hilo linatakiwa na mwenye dhamana kitaifa au mawakala wanaifanya biashara au mradi wa kanisa. Maana makanisa na misikiti na mahakama ni mawakala tu, wote wanapewa vitabu vya vyeti na mwenye dhamana kitaifa na wanapewa maagizo na kulipia vyeti hivyo (haiwezi kuwa laki moja maana watu wanahamasishwa wafunge ndoa halali kupitia mawakala hao ili kuondoa uhuni wa kuishi kama sungura bila ndoa structured).
 
mkuu KKKT siku hizi sijui wameingiliwa na nini. kuna baadhi ya makanisa yao ukiwa na mtoto kabla ya ndoa ukienda kubatiza wanapiga na ndoa moja kwa moja bila hata makubaliano kati ya ME na KE . sijajua hizi taratibu wanatowa wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom