chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,291
- 1,839
Hiyo laki moja ni sadaka
na Tayari ametoa advance nusu ! elfu hamsini!10,000/ au 100,000/?maybe kuna typing error hapo
Ndugu yangu Kyalosangi usiwe na jazba kama ulivyosema tuchangie bila jazba, wewe mpaka kufikia umri huo umeshatoa laki moja moja ngapi tena kwa mambo ya kawaida tu??. Hiyo laki moja mhasibu wa usharika husika atampatia risiti na mwanzoni mwa mwaka ujao wakaguzi wa nje toka makao makuu ya Dayosisi yetu pale Arusha wanakuja kukagua hesabu za huo usharika, na kama kutakuwa na tatizo hiyo itakuwa ni hoja mojawapo kwenye ukaguzi wao. Pia hiyo ni sadaka tu mkuu wangu. Suala la wewe ni mzee wa kanisa na mimi ni mzee wa usharika halioi majibu ya thread uliyoanzisha .
Mbona mhari tunatoa mamilioni? Kulipia huduma naona ni kitu cha kawaidaKuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
Mbona mhari tunatoa mamilioni? Kulipia huduma naona ni kitu cha kawaida
1. Nadhani ni muhimu kwa kanisa kutengeneza vyanzo vya kuingiza mapato. Maana kuna vitu vingi vinahitaji pesa ili kanisa liendelee kutenda kazi.Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
1. Nadhani ni muhimu kwa kanisa kutengeneza vyanzo vya kuingiza mapato. Maana kuna vitu vingi vinahitaji pesa ili kanisa liendelee kutenda kazi.
2. Nimeona mara nyingi watu tunakuwa na budget kubwa za harusi tuseme labda ya millioni 40. Asilimia kubwa hutumika kwenye vilevi na zawadi kwa wanaharusi. Wanapokwenda kanisani kufungishwa ndoa utakuta jumla ya sadaka iliyotolewa haizidi laki 1. Sasa hayo mapesa yote ya nini kama kanisa halikumbukwi. Kama watu hawaoni umuhimu wa kufunga ndoa kanisani si waende bomani. Ni heri waweke viwango fulani, maana hiyo ni huduma na watu hawako tayari kuchangia huduma ya ndoa.
Alipe tu dini yenyewe imekuwa Pesa mbele,,, kwani ile biashara ya maji dollar 60 toka Nigeria kwa jina anoited watera imeishia wapi?
Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa ,hii ni baada ya kuishi katk ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho! Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti ! Ameogopa akajua anaibiwa! Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani ! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya ! Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!TAFADHALI TUCHANGIE KWA STAHA BILA JAZBA!
Kuna makanisa
yanagharamia ndoa na sherehe, labda watashugulikia na sherehe i.e
ukumbi+kwaya+kukujazia watu+fungu la kumi+...