Makanisa mtaacha lini kufungisha ndoa za walio na Mimba?

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Sielewi ni maadili yameisha ama nini kimetokea. Ni harusi ya saba J’mosi nahudhuria Binti amebakiza labda miezii miwili kujifungua.

Na J’mosi hii kuna harusi hope haitakuwa hivyo. Kila ndoa mwanamke yuko na ‘uncle’ tumboni.

Jamani si makanisa yalipinga hii mambo zamani? Nakumbuka pale Ubungo KKKT miaka hioo Mchungaji mmoja aligoma kabisa kufungisha ndoa baada ya kuona ‘uncle’ ANAKARIBIA KUJA.

Wazo:

Kwa mwendelezo huu nashauri makanisa yasiwe na vikwazo ili watu wafunge ndoa.

Pengine wengine wana hamu ya kuoana wanaogopa wachungaji watawakatalia ama kuwauliza sana maswali.

Mchungaji siku hizi kila ukoo unataka kutest kwanza msipokubali testing testing mtaishia kubariki ndoa milele makanisa yenu.

#FUNGUAAVIDEOUMSALIMUBWMUTTANAMKEWE
Hongeraaa hongereeni Bwanaa ....number ameshafanyaaaa
 
Attachments

  • VID-20200228-WA0003.mp4
    2.2 MB
Screenshot_20200228-081523.png
 
Attachments

  • Screenshot_20200228-081422.png
    Screenshot_20200228-081422.png
    53.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200228-081458.png
    Screenshot_20200228-081458.png
    57.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200228-081543.png
    Screenshot_20200228-081543.png
    58 KB · Views: 2
Rt

Hahahahaaa bw muta ...anakuonaaa
 
Attachments

  • VID-20200228-WA0003.mp4
    2.2 MB
Huku kwetu Kwamtogole tunachoangalia ni kuwa binti hakuzalia nyumbani alizalia kwa mumewe.
Hahahaaaa mengineee.....,..dah umenikumbishaa mbalii hapoo kwamtogolee nilikuwa nakamiss kamojaa kalinipelekaa.kwawazazii kakaanza kuhahaa ntoe condom dah akiliyakee YOTEE ajaee ajekuishii home nkaonaa sisiwenyewe mzigoo tuletemzigoomwinginewazazi watakufaa...yaanindanii ya wikii alisisitiza no condom alipoona hakunamafanikioo

AKASEMA a AHSANTE sanaa mm siowakuchezeaaa lazima niishii kwa malengoo nikaheshimuu mtaamzima hapoo panaponuka sanaa sijuisikuhizii kama wamerekebishaa dah
 
Sielewii ni maadili yameisha ama nini kimetokea. Ni harusi ya saba J’mosi nahudhuria Binti amebakiza labda miezii miwili kujifungua.

Na J’mosi hii kuna harusi hope haitakuwa hivyo. Kila ndoa mwanamke yuko na ‘uncle’ tumboni.

Jamani si makanisa yalipinga hii mambo zamani? Nakumbuka pale Ubungo KKKT miaka hioo Mchungaji mmoja aligoma kabisa kufungisha ndoa baada ya kuona ‘uncle’ ANAKARIBIA KUJA.

Wazo:

Kwa mwendelezo huu nashauri makanisa yasiwe na vikwazo ili watu wafunge ndoa.

Pengine wengine wana hamu ya kuoana wanaogopa wachungaji watawakatalia ama kuwauliza sana maswali.

Mchungaji siku hizi kila ukoo unataka kutest kwanza msipokubali testing testing mtaishia kubariki ndoa milele makanisa yenu.

#FUNGUAAVIDEOUMSALIMUBWMUTTANAMKEWE
Hongeraaa hongereeni Bwanaa ....number ameshafanyaaaa
Dini imejaa contradiction.

Hapa Yesu alisema asiye na kosa awe wa kwanza kurusha jiwe.

Huku waumini wanataka makanisa yaache kufungisha ndoa wenye mimba.

Mnataka kurusha mawe au kusamehe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu Kwamtogole tunachoangalia ni kuwa binti hakuzalia nyumbani alizalia kwa mumewe.
Shost una moyoo kuishii hukoo dah
Napendaa MABINTI WENGI hukoo awaishiwi nyege yaan ukiita tu hataa awe period huyoo
Wiziiulikuwa njenjee hioomizigoo ndioo Balà nahisikila ndoaa hukoo BINTI Alikuwa na mimba b4
 
Ndoa ya Adam na Hawa ilifungwa na mwenyewe Mungu mwenyewe
Adamu ndo mtu wa kwanza kula tunda kimasihara. Yaani Mungu alitaka wakae kama wachumba waaminifu kwa muda flani ndo waje wafunge ndoa ila wao wakalana kabla ya ndoa hiyo ndo ikawa dhambi kubwa kuliko zote kwa zama zileeeeee mpaka leo matokeo yake tunayaona. Jamani uchumba tuulindeni sisi wanaume ili wake zetu tuanze nao siku ya fungate. Babu yetu adamu alishindwa hilo na sisi hatutaki kujifunzia kwake

KWA MAANAA WOTE WAMEFANYA DHAMBII NA KUPUNGUKIWAA UTUKUFU WA MUNGU
YAANI hataa mtotoooo anaezaliwaa ana dhambiitayari ya adam
 
Back
Top Bottom