KKKT: kufungisha ndoa mnatoza 100,000/=!

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
3,964
2,000
Kuna rafiki yangu mmoja ameamua kubariki ndoa, hii ni baada ya kuishi katika ndoa ya Kimila kwa mwongo mmoja! Ila hasa na mashinikizo ya kidini kuwa ni lazima wafunge ndoa kanisani ili wakamilike kiroho. Sasa alipokwenda kanisani ndio kakumbana na hiyo hela kama sehemu ya masharti. Ameogopa akajua anaibiwa.

Ndio kanifuata mimi "mzee wa Kanisa " kuuliza hili ni tozo gani! Ama kweli katika ufahamu wangu wa Kanuni za KKKT hii kwangu ni mpya.

Hebu mnijuze naogopa kumpigia mchungaji kuuliza !Kam ndiyo ilivo mh....!Tafadhali tuchangie kwa staha bila jazba.
 

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,833
2,000
KYALOSANGI

Alipe tu dini yenyewe imekuwa Pesa mbele,,, kwani ile biashara ya maji dollar 60 toka Nigeria kwa jina anoited watera imeishia wapi?
 
Last edited by a moderator:

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
3,964
2,000
Umeshamaliza ya huko kwenu mnakobakana??
Mkuu Mungu alikupa akili itumie vema ! mimi nimeuliza swali kama huna jibu nyamaza! Mimi ni mLuther ila sijawhi shiriki kwa karibu katika michakato hii ,pengine ni sahihi au jamaa kadanganywa ! Ndio maana umeweka utambulisho wako hivo!
 

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
3,964
2,000
Alipe tu dini yenyewe imekuwa Pesa mbele,,, kwani ile biashara ya maji dollar 60 toka Nigeria kwa jina anoited watera imeishia wapi?
Hapana kwenye Usharika wangu tuna uza maji ya chumvi pekee ,dumu Sh.100?=
 

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
3,964
2,000
Mh kichwa cha habari kimebeba KKKT dunia nzima, kumbe ni branch.
Sina jipya ila tu kuwa siyo wote wapo hivyo. Thanks
Hupendeki kwa kweli KKKT=Kanisa la Kiinjili la Kilutheri TANZANIA! AU ulitaka niandike Tanganyika ndio ungenielewa !
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,368
2,000
hilo kanisa liko wapi....mbna sawa tu, dunia ya siku kila kitu hela tu hakuna buree
 

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
3,964
2,000
Aha utoto issue sio kuwa au kutokuwa na hiyo fedha ! Hapao tunaangalia uhalalai wa kanisa kutoza hizo hela !
kama laki moja ya kufungisha ndoa inamshinda hivi hata mahari aliweza kulipa kweli?
Mwanamke wake namwonea huruma kaolewa na lofa wa kutupwa.mbona atakoma.

Mpe pole huyo mwanamke kwa kuolewa na lofa wa kutupwa kama huyo.
 

subash

Member
Dec 30, 2011
75
95
Kwanza ni aibu saaana kwa wewe Mzee wa Kanisa kutokujua mambo kama haya. Kifupi umeshafeli katika hilo na ninavyowajua walutheri hauna hata miezi mitano tangu uchaguliwe si ajabu hata matangazo ya jumapili haujasoma hata mara moja. Unagopa kumpigia simu Mhunaji shame onu mzee wa kanisa!!!!

Mimi ni mzee wa kanisa mzoefu kwa kukusaidia hizi ni gharama za cheti cha ndoa.
 

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
3,964
2,000
kwanza ni aibu saaana kwa wewe mzee wa kanisa kutokujua mambo kama haya. Kifupi umeshafeli katika hilo na ninavyowajua walutheri hauna hata miezi mitano tangu uchaguliwe si ajabu hata matangazo ya jumapili haujasoma hata mara moja. Unagopa kumpigia simu mhunaji shame onu mzee wa kanisa!!!!

Mimi ni mzee wa kanisa mzoefu kwa kukusaidia hizi ni gharama za cheti cha ndoa.
mh naona wewe ni mzee wa usharika si wa kanisa! Ahsante kwa taarifa ,cheti cha ndoa laki moja ! Haya bhana wahi nyumbani ukajiandae kuandika matangazo ya jumapili hizo ndio kazi zenu wazee wa usharika ...sisi wazee wa kanisa lazima tuhoji ili tusije enda tofauti na imani ya kristo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom