KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

Hata baba mwenye family ya watu/ watoto nane kuna mmoja kati ya atamoinga tu, iweje kwa watu 2000+ then hakuna anaepinga? shame on you Magamba!
 
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.

Huhitaji kuwa na chanzo cha habari yako, kujua CCM ni wezi bahati mbaya wanaiba mfuko wa kushoto na kuweka mfuko wa kulia.

Kuna shida kumtangaza M/Kiti kuwa amepita bila kupingwa kama inavyofanyika kwa wabunge (J. Makamba et al) badala ya kujidhalilisha kwa kiwango hichi.
Kusema watu karibu 2,400 wanafikiri sawa sawa ni kutangaza CCM haifai kuongoza taifa hili...

Halafu hao ni usalama kweli au wahuni tu wanaostahili kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali???
 
Binafsi sishangazwi na hizo mbinu chafu za ccm na suala la kumuamini au kutokumuamini mleta mada sitaki kuhangaika nalo, lililokuwa lanipa mashaka ni MANGULA kushinda kwa 100% maana kwa jinsi CCM ilivyo sasa na misimamo ya MANGULA sio rahisi kukubaliwa na pande mbili zinazokinzana, maana tukisema kapata 100% ina maana watoa rushwa na wasiotoa rushwa wote wanamkubali kitu ambacho si kweli.

Hongera kwa kuona mwanga mzee Tupatupa najua wapo wengi kama wewe ambao hawaamini mpaka washuhudie, MUNGU ni mkubwa ipo siku watajua na watakuwa tayari kujiunga na wanyonge wa NCHI hii katika kuililia.*
 
Wala wewe siyo mwanaccm kabisa huo ni ujanja ujanja tuu wa kurubuni watu kama mlivyozoea. Waliokuwa wanahesabu kura ni wanafunzi wa chuo na wala sii wewe. Na kama ni hivyo kama unavyodai iweje usilalamike kwenye vyombo husika vya vyama? YOU ARE NOT A GREAT THINKER. Wewe ni mtupatupa thread tuu.

Ujasiri ulionao ukiutumia vizuri utakupa manufaa sana..
wapo wengine ni jasiri katika mambo ya kipuuzi tu!!!
 
nimeshachoka mie,cjui tutaling'oaje hili dudu la ccm(lenye manguvu ya giza),agrrrrrrrr
 
Kwa mtu aliyesikiliza hutuba ya Makamba, akafuatilia na ushindi wa Mangula na Shein kwa kura zote pasipo hata kura moja kuharibika, alianza kutilia mashaka zoezi zima. Neno kura za maruhani Makamba alilirudia sana kwenye hutuba yake. Kama hutuba yake iliwabadili wale wote waliokusudia kumpinga Kikwete na kubaki wawili tu, basi arejeshewe ukatibu mkuu wake alioporwa na Mukama.

Na kicheko cha Kikwete muda wote aliokuwa anahutubia Makamba ilikuwa kama ujumbe kwa wapinzani wake kuwa nyie si chochote Kwangu. Lowasa akajipange upya, na wale waliokuwa na imani kuwa Lowasa ndiye kila kitu ndani ya chama chake wakafikirie upya. Kama Lowasa bado ana tamaa ya urais, basi aangalie option ya kugombea kupitia vyama kama NCCR au UDP. Mlango kwa CCM umefungwa. Hata kama atapata kura zote za wajumbe wa CCM 2015 jina lake litatupwa kwenye trash.
 
JK anajiibia kura yeye mwenyewe? Huyu jamaa kiboko. Naamini sana unachosema Mpwa maana in real sense hata kama ungekua Malaika sio wote wangekupenda. Iweje JK apendwe na wote huku tayari kulikua na dalili ya kukataliwa tena wazi wazi na kwa maandishi?
 
binafsi sishangazwi na hizo mbinu chafu za ccm na suala la kumuamini au kutokumuamini mleta mada sitaki kuhangaika nalo, lililokuwa lanipa mashaka ni mangula kushinda kwa 100% maana kwa jinsi ccm ilivyo sasa na misimamo ya mangula sio rahisi kukubaliwa na pande mbili zinazokinzana, maana tukisema kapata 100% ina maana watoa rushwa na wasiotoa rushwa wote wanamkubali kitu ambacho si kweli.

Hongera kwa kuona mwanga mzee tupatupa najua wapo wengi kama wewe ambao hawaamini mpaka washuhudie, mungu ni mkubwa ipo siku watajua na watakuwa tayari kujiunga na wanyonge wa nchi hii katika kuililia.*
tokea jana niliwaambia jamaa niliokuwa nao...... Haya matokeo yamechakachuliwa haiwezekani yakawa kama yalivyotangazwa....bado mengi yatafumuliwa..................mwanahalisi: Mambo yote yangekuwa hadharani
 
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.

Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.

Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.

Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!

Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.

Haaaa haaaaa haaaaa,daaaa kweli propaganda zimeshawaishia so umeamua ujifanye wewe ndo ulikua una hesabu kura sio?haaaa haaaa haaa mbona tulihesabu kura za mnykt watu wa3 tu na mwanaume nlikua mwenyewe tu wewe ulikua wapi,haaaa haaa haaaa duuu umefeli i was there bana
 
Hata baba mwenye family ya watu/ watoto nane kuna mmoja kati ya atamoinga tu, iweje kwa watu 2000+ then hakuna anaepinga? shame on you Magamba!

hivi mbona mnajiaibisha jamani,sasa uchaguzi wa CCM wewe unakuhusu nini,whether wameibiana kura ama la nyie inawahusu nini,fanyeni ya kwenu,mbona nyie mlituma wazee wakamuomba zito atoe jina la kugombea uenyekit hakuna aliesema neno,haaaa haaa haa haaaa mfyuuuuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
hivi mbona mnajiaibisha jamani,sasa uchaguzi wa CCM wewe unakuhusu nini,whether wameibiana kura ama la nyie inawahusu nini,fanyeni ya kwenu,mbona nyie mlituma wazee wakamuomba zito atoe jina la kugombea uenyekit hakuna aliesema neno,haaaa haaa haa haaaa mfyuuuuuuuuuuu

hivi wewe ukijinyea aibu ni ya nani?

very narrow thinking
 
Mnaambiwa ga kei jei ni mwizi mnakataa,haya sasa wa ndani wanaanika pumba hadharani....wale wanaotaka ushahidi wa picha ni manyang'au ya magamba ili kupotosha hoja hapa.
 
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.

Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.

Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.

Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!

Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.

Duh utunzi mwingine bwana,sasa ulishindwa basi hata kutafuta jina halisi la huyo unaemwita mackson ili utudanganye vizuri?hakuna mtu kama huyo huko ccm ambako unadai wewe uko front kiasi cha kuingia kwenye chumb cha kuhesabia kura,ina maana kwa nafasi uliyonayo huko ccm hulijui jina haliso la huyo mackson wako?!!!!!!!!!!!
 
Haaaa haaaaa haaaaa,daaaa kweli propaganda zimeshawaishia so umeamua ujifanye wewe ndo ulikua una hesabu kura sio?haaaa haaaa haaa mbona tulihesabu kura za mnykt watu wa3 tu na mwanaume nlikua mwenyewe tu wewe ulikua wapi,haaaa haaa haaaa duuu umefeli i was there bana

Mbinu hiyo ya jinsi ulivyotoa taarifa ni ya UWT, unathibitisha aliyoanika Mzee Tupatupa. Nchi ni yetu sote; hamuwezi kuibaka mkitazamwa tu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom