Wewe acha uongo bana, sasa kama umeamua kuhama chama na huogopi tena basi kwanini usiweke jina lako? Mtu yeyote anaweza kujitokeza na kusema yeye alikuwemo kwenye kuhesabu kura.Kwa hapa JF,nimefika mwisho wa kujipambanua kwangu. Utaamua kuamini au kutoamini chanzo cha habari hii ambacho ni mimi mwenyewe.
Mtu mkubwa chamani kama mimi,najitoa kwa Press Conference.Nitawaanika vya kutosha wezi nyinyi.Namalizia kukusanya nyaraka muhimuWewe acha uongo bana, sasa kama umeamua kuhama chama na huogopi tena basi kwanini usiweke jina lako? Mtu yeyote anaweza kujitokeza na kusema yeye alikuwemo kwenye kuhesabu kura.
Njaa zingine ni mbaya sana. Nenda kwa kundi la HAPANA ukapewe posho yako.
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.
Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.
Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.
Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.
Sawa mkuu, tunasubiri hizo nyaraka muhimu, usisahau kumpelekea Slaa mwenye library ya nyaraka za siri.Mtu mkubwa chamani kama mimi,najitoa kwa Press Conference.Nitawaanika vya kutosha wezi nyinyi.Namalizia kukusanya nyaraka muhimu
wewe ni nani Bashe,lowasa,malisa au jiweke wazi si hauna tena muda wa kuogopaChanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.
Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.
Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.
Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.
Baada ya mimi kuripoti humu JF jana kuwa CCM imeanza kujiandaa kwa Kampeni za Sumbawanga Mjini,jana kilifanyika kikao kingine. Nashukuru hawakunifahamu hivyo kutonitenga. Nikawepo tena kwenye Kikao cha pili cha dharura. Kikaoni,tukaanza kutemewa mkwara na 'Mwenyekiti' wa kikao ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.
' Tumepokea taarifa kuwa yupo mtu humu anaweka mipango yetu wazi kwenye mitandao. Tumeshamjua. Tunamuonya asirudie. Na leo tumemtenga rasmi kwenye vikao vyetu vya kimkakati. Hatahudhuria hadi atakapotubu' alitamba 'Mwenyekiti' huyo. Nusura nicheke. Kweli CCM ni waongo na waliojaa propaganda. Mbona mimi nipo?! nilijiuliza kimoyomoyo.
Eti, taarifa ikatolewa kuwa mipango ya awali ya kumteua Mwigulu na timu yake ya Kampeni na nini sijui imesitishwa. Imesitishwa kwakuwa imevuja. Ikaundwa Kamati Ndogo itakayoshughulikia kisirisiri mipango hiyo ya Sumbawanga Mjini. Nami pia nimo. Raha ilioje! Mwaka huu,hadi kieleweke. Nilifundishwa jeshini enzi hizo kuwa ukitaka kumjua adui vyema,jiunge naye kwa juhudi zako zote. Ndivyo nilivyofanya. CCM hawatapata pakutokea. .
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.
Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.
Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.
Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.
Sasa Kikwete amefikia viwango vya ujambazi anakwiba mpaka kura za uongozi wa Chama??
Watu wanaanza kuelewa kwa mbaaaali.Election riging aka wizi wa kura ni sawa na KULA NYAMA YA MTU, CCM haiwezi kuacha kamwe.
Pamoja na Mapenzi yangu kwa Baba wa Taifa JK Nyerere na pia pamoja na kutoipenda CUF, lakini ukweli lazima usemwe to put the reckord in perspective.
Mwasisi wa wizi wa KURA Tanzania ni JK Nyerere, pale alipopora USHINDI wa CUF wa kiti cha Urais wa SMZ wa Maalim Seif (CUF) dhidi ya Komandoo Salmin Amour (CCM) 1995. Nyerere aliiamurisha ZEC ibadilishe matokeo ya URAIS wa ZNZ in favour of Salmin Amour (CCM).
Tangu wakati huo Nyerere alipowalisha CCM NYAMA YA MTU, CCM kamwe haitaacha kuendelea kula nyama ya mtu (read riging election).
Just imagine wakati Kenya wanataka general election Wakenya wapige kura electronically, Mkutano mkuu wa CCM bado wanapiga KURA za makaratasi?! Is it coincidency? NO ni mpango mkakati wa kuendelea ku-rig election.
Wakati Mawaziri wa Kenya wanasoma budget zao kwa Ipad, bado bunge letu la JMT linapiga kura za NDIYO na HAPANA (shouting). Why not introdunce electronically voting in the HOUSE. CCM hawataki kura za haki na huru.
Hii Nyama aliwaolisha Nyerere CCM hawataicha kamwe kabisa. Counts my words.
sure..!
Aweke picha
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.
Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.
Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.
Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.
inasemekana watu huwa wananyang'anywa hadi simu kwenye chumba cha kuhesabia kura
Picha ya nini? Wewe ungeweza?