walitengeneza mazingira ya wizi kisha wakaiba wakijua fika kuwa hamuwezi kusema wala kujitokeza. Kama kweli nyie ni vidume kama chama chenu jitokezeniilikuwa balaa.usalama wa taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! Ccm imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za mwenyekiti baada ya zile za makamu wa mwenyekiti wa bara na visiwani.
Si kweli kuwa dr.shein na mangula walipata kura zote. Dr.shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za uenyekiti,mchuano wa 'ndiyo' na 'hapana' ulikuwa mkali. Hapo ndipo ndugu mackson chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.aliporudi,akarudi na usalama wa taifa na green guard.
Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.matokeo hugeuzwa.na sisi ccm ndio mchezo wetu.hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.
Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na wakala wake. Ni jana tu,jk alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.sijiungi kwakuwa namchukia jk,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.ni hatari!
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura kizota chini ya uangalizi wa spika anne semamba makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.
Mzee Tupatupa it mighty be true what you say
but how should i believe the source of information??
tokea jana niliwaambia jamaa niliokuwa nao...... Haya matokeo yamechakachuliwa haiwezekani yakawa kama yalivyotangazwa....bado mengi yatafumuliwa..................mwanahalisi: Mambo yote yangekuwa hadharani
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.
Election riging aka wizi wa kura ni sawa na KULA NYAMA YA MTU, CCM haiwezi kuacha kamwe.
Pamoja na Mapenzi yangu kwa Baba wa Taifa JK Nyerere na pia pamoja na kutoipenda CUF, lakini ukweli lazima usemwe to put the reckord in perspective.
Mwasisi wa wizi wa KURA Tanzania ni JK Nyerere, pale alipopora USHINDI wa CUF wa kiti cha Urais wa SMZ wa Maalim Seif (CUF) dhidi ya Komandoo Salmin Amour (CCM) 1995. Nyerere aliiamurisha ZEC ibadilishe matokeo ya URAIS wa ZNZ in favour of Salmin Amour (CCM).
Tangu wakati huo Nyerere alipowalisha CCM NYAMA YA MTU, CCM kamwe haitaacha kuendelea kula nyama ya mtu (read riging election).
Just imagine wakati Kenya wanataka general election Wakenya wapige kura electronically, Mkutano mkuu wa CCM bado wanapiga KURA za makaratasi?! Is it coincidency? NO ni mpango mkakati wa kuendelea ku-rig election.
Wakati Mawaziri wa Kenya wanasoma budget zao kwa Ipad, bado bunge letu la JMT linapiga kura za NDIYO na HAPANA (shouting). Why not introdunce electronically voting in the HOUSE. CCM hawataki kura za haki na huru.
Hii Nyama aliwaolisha Nyerere CCM hawataicha kamwe kabisa. Counts my words.
Mtajua wenyewe magamba wizi ndo jadi yenu
Miss you ze mtotoz wapi hiyo?wanakazania kuongoza ya duniani, huku roho zao wakiziteketeza, tena wao wenyewe! TUWE NA HOFU YA MUNGU JAMANI!
Kuchamba kwingi mwishowe unatoka na Kinyesi, unafahamu vyema kwamba kuna typing error, yeye alikuwa anamaanisha Matson Chizii, sasa tueleze na wewe una undugu na Bambo?
Nakumbuka hata Saddam Hussein naye alishinda uchaguzi kwa 100% lakini nilishangazwa wale wale tulioaminishwa kwamba wanampenda sana ndio walikuwa wa kwanza kuliangusha sanamu lake baada ya utawala wake kuondolewa. yo can fool some people for some time, but you can not fool all people for all time.
Hapa hakuna unalolijuwa sana sana nenda kwenye Blogu ya shosti wako Mange Kimambi ulete picha nyingine za bikini.