KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

Niliposikia Anne Semamba Makinda atasimamia uchaguzi, sikuwa na shaka tena kwamba JK na genge lake watashinda kwa kURA nyingi tu za wizi
 
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.

Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.

Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.

Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!

Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.
Hapo ndo utaelewa somo la Luteni Kanali JK. Hakuna cha EL wala bashe..! JK ni jembe bwana, watu walikuwa busy wanasambaza vipeperushi lakini JK kawakata vimeo hadharani wakati hata uchochoroni hairuhusiwi..!
 
ilikuwa balaa.usalama wa taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! Ccm imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za mwenyekiti baada ya zile za makamu wa mwenyekiti wa bara na visiwani.

Si kweli kuwa dr.shein na mangula walipata kura zote. Dr.shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za uenyekiti,mchuano wa 'ndiyo' na 'hapana' ulikuwa mkali. Hapo ndipo ndugu mackson chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.aliporudi,akarudi na usalama wa taifa na green guard.

Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.matokeo hugeuzwa.na sisi ccm ndio mchezo wetu.hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.

Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na wakala wake. Ni jana tu,jk alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.sijiungi kwakuwa namchukia jk,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.ni hatari!

Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura kizota chini ya uangalizi wa spika anne semamba makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.

cdm bwana kwa propaganda!! Siwawezi
 
Haaaa haaaaa haaaaa,daaaa kweli propaganda zimeshawaishia so umeamua ujifanye wewe ndo ulikua una hesabu kura sio?haaaa haaaa haaa mbona tulihesabu kura za mnykt watu wa3 tu na mwanaume nlikua mwenyewe tu wewe ulikua wapi,haaaa haaa haaaa duuu umefeli i was there bana

Sasa hapa mwenye propaganda ni nani? ni wewe fergusonema au Mzee Tupatupa? Mtawezaje kuhesabu kura za watu 2000+ mkiwa watatu? hata kura za chaguzi za Kiranja Mkuu wa shule za kata huhesabiwa na watu zaidi ya watatu.
 
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.

Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.

Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.

Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!

Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.

Mbona sikukuona jana? Kwani ulikuwa umevaaje
 
Kuna kila dalili ya ukweli katika hili, kwa mfano

-Mangulla anashinda kwa 100%(Kura 2397)

-Shein anashinda kwa 100%(Kura 2397)

-Kikwete anashinda kwa 99.9%(Kura 2395)

-Hakuna kura zilizoharibika!!!

*Haijawahi kutokea katika CCM toka imeanzishwa kuwa na matokeo ya namna hii.
 
Duh utunzi mwingine bwana,sasa ulishindwa basi hata kutafuta jina halisi la huyo unaemwita mackson ili utudanganye vizuri?hakuna mtu kama huyo huko ccm ambako unadai wewe uko front kiasi cha kuingia kwenye chumb cha kuhesabia kura,ina maana kwa nafasi uliyonayo huko ccm hulijui jina haliso la huyo mackson wako?!!!!!!!!!!!
Kuchamba kwingi mwishowe unatoka na Kinyesi, unafahamu vyema kwamba kuna typing error, yeye alikuwa anamaanisha Matson Chizii, sasa tueleze na wewe una undugu na Bambo?

Nakumbuka hata Saddam Hussein naye alishinda uchaguzi kwa 100% lakini nilishangazwa wale wale tulioaminishwa kwamba wanampenda sana ndio walikuwa wa kwanza kuliangusha sanamu lake baada ya utawala wake kuondolewa. yo can fool some people for some time, but you can not fool all people for all time.

Hapa hakuna unalolijuwa sana sana nenda kwenye Blogu ya shosti wako Mange Kimambi ulete picha nyingine za bikini.
 
Niliposikia Anne Semamba Makinda atasimamia uchaguzi, sikuwa na shaka tena kwamba JK na genge lake watashinda kwa kURA nyingi tu za wizi
Sikuelewi unaposema watashinda au walishinda, kwani walikuwa wanashindana na nani?
 
sidhani kama 2015 wananchi watakubali tena kuibiwa kura
lazima damu itamwagika kama hawataacha wizi wao
hata mm ntakuwa tayari kufa kutetea haki za wanangu na vizazi vijavyo kwa haki na sio wizi
CCM wataipeleaka nchi pabaya sana wasipoacha mtindo wa wa kudhani wana hati miliki na nchi
kuibiana wenyewe je wakati wa uchaguzi si ndio balaa zaidi?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
mimi naweza amini maana sina imani kama kweli jk alipata 99.2% kwa kifupi haijalishi sikuwepo dodoma ila ukweli unabakia pale pale kuwa sikuweli walichakachua kura
 
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.

Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.

Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.

Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!

Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.[/QUOTE

Alichosema JK kwamba kuna viwanda vya uongo alikua sahihi kabisa.
 
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura tukapigwa vikumbo. Tukaonekana hatufai.Wakati huo,tulikuwa tumeshahesabu nusu ya kura za Mwenyekiti baada ya zile za Makamu wa Mwenyekiti wa Bara na Visiwani.

Si kweli kuwa Dr.Shein na Mangula walipata kura zote. Dr.Shein alikataliwa na wapiga-kura 43 huku Mangula akikataliwa na 50. Hawa hawakushinda kwa asilimia 100. Kwa zile za Uenyekiti,mchuano wa 'NDIYO' na 'HAPANA' ulikuwa mkali. Hapo ndipo Ndugu Mackson Chizii alipotoka chumba cha kuhesabia kura na kwenda kusikojulikana.Aliporudi,akarudi na Usalama wa Taifa na Green Guard.

Jana,nimeamini kuwa kura zinazotangazwa sizo zilizopigwa hasa. Ndugu zangu,kwa umafia tuliofanyiwa jana,itakuwa ngumu kwa upinzani kushinda Urais wa nchi hii kama wachache watakwenda sirini kuhesabu kura kisha kuzitangaza. Amini nawaambia,kura huibwa.Matokeo hugeuzwa.Na sisi CCM ndio mchezo wetu.Hatutaachia kirahisi ushindi kwa mwingine.

Iko haja kwa mfumo wa kuhesabu kura kurekebishwa.Ikiwezekana,na mgombea naye awepo pamoja na Wakala wake. Ni jana tu,JK alibadilishiwa matokeo ili ionekane ameshinda kwa asilimia 99.2. Kuanzia jana,nipo tayari kujiunga na upinzani ili tuikomboe nchi hii.Sijiungi kwakuwa namchukia JK,najiunga kwa kuchukia uibaji wa kura ambao unakandamiza demokrasia nchini.Tunaongozwa na tusiowachagua na tunachagua wasiotuongoza.Ni hatari!

Chanzo: Mimi mwenyewe niliyekuwa chumba cha kuhesabia kura Kizota chini ya uangalizi wa Spika Anne Semamba Makinda. Sina muda tena wa kuogopa. Hawa watu hawafai.

2015 ni luga nyingine my friend unexpected shall happen na kila mtu atapigwa butwaa....Uovu hauwezi ota kiburi mbele wa wema...Watch and see!

Karibu tukamilishe team we are ready to defend our country na sababu nia na uwezo tunao....Hizo game zao wazi play kwingine siyo katika nchi ambayo watu wanateseka usiku na mchana pasi na sababu....I am ready and more than ready to change the course!
 
sidhani kama 2015 wananchi watakubali tena kuibiwa kura
lazima damu itamwagika kama hawataacha wizi wao
hata mm ntakuwa tayari kufa kutetea haki za wanangu na vizazi vijavyo kwa haki na sio wizi
CCM wataipeleaka nchi pabaya sana wasipoacha mtindo wa wa kudhani wana hati miliki na nchi
kuibiana wenyewe je wakati wa uchaguzi si ndio balaa zaidi?

acha kujifurahisha wewe, huna upiganaji wowote. kama kweli wewe ni mpiganaji na huogopi chochote hebu anza kwanza kudisclose jina lako halisi. Hata baba yenu Slaa aliwahi kuahidi nchi haitatawalika eti mtaandamana hadi kieleweke. Mbona bado anatawala/
 
“Ifuatayo ni risala fupi ya marehemu Chama cha Mapinduzi (CCM). Marehemu CCM alizaliwa 05/02/1977. Enzi za uhai wake marehemu alijishughulisha na kuua mazao ya biashara kama kahawa, tumbaku, korosho, pamba na katani. Marehemu pia atakumbukwa sana kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda vyote kama Mutex, Mwatex, Ufi, Kiltex, Tanelec, Bora, viwanda vya kusindika nyama na maziwa, kiwanda cha karatasi na viwanda vyote unavyovikumbuka. Alijishughulisha sana pia na kuwaleta wageni na kuwapa mali za watanzania. Hadi anafariki ameacha Wachina kariakoo, Waarabu Loliondo, Makaburu Mererani na Wazungu wa kila aina kwenye migodi yote ya madini na gesi. Marehemu pia atakumbukwa kwa operesheni kadhaa za kuhujumu uchumi hasa zile za EPA, Meremeta, Deep Green Finance. Mwaka 2008 marehemu alifunga ndoa na (kinatajwa chama kimoja cha siasa nchini). Ameacha watoto watatu wa kiume mmoja aitwaye (chama kingine) na wa kike wawili (vyama vingine viwili). Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe”. Safari njema kurejea makwenu wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM.

And so shall it be in the name of Jesus Christ of Nazareth!
 
Sikuelewi unaposema watashinda au walishinda, kwani walikuwa wanashindana na nani?

Past tense kiongozi, siku ya kwanza ya mkutano wao walitangaza wasimamizi wa kura, so kabla hata siku ya tatu haijafika nilijua tu watashinda na sasa wameshinda mkuu
 
Inashangaza sana kusikia eti hakuna kura iliyoharibika tukichukulia kwamba kulikuwa na wajumbe hawajui kusoma na kuandika! Aliyepika matokeo haya alichemsha!
 
Nilimwangalia bi kiroboto akitangaza matokeo, ukimwangalia usoni kama ulisoma saikolojia utagundua hakuwa normal, especially wakati akitangaza matokeo ya mwenyekiti. Alikuwa kama mwoga fulani, alafu jasho lilikuwa likimtoka.
 
Back
Top Bottom