Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Sasa anapinda kwelikweli, tena kwa kuudhi. Hivi hawezi akajiuliza kwa nini Ben hakupewa Tuzo ya Mo Award kwa miaka miwili mfululizo kama kweli alikuwa mtu safi na kuifanyia nchi hii mazuri? hi kweli aliikosa Tuzo hiyo na kuwaachia akina Chissnao na Mogae wampite?
Pinda -- think -- not all Tanzanians are fools! angalau ungeshikilia ule ule msimamo rasmi wa serikali -- kwamba Mkapa anayo kinga Kikatiba ya kutoshitakiwa -- basi. sasa hii ya kusema mtu safi haikai vizuri hasa kwa uadilifu wako uliokuwa unaonyesha, wananchi wamekuwa dis-appointed saana kuhusu tamko lako Bungeni!