Kiwanja cha AVALON cinema: TIBAIJUKA acha unafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha AVALON cinema: TIBAIJUKA acha unafiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Dec 17, 2010.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Nadhani mna habari kuwa ile OPEN SPACE ya Avalon Cinema nacho kishapewa yule mzee aliyekuwa haishi kulalama kuwa serikali inakosa mwelekeo.

  Yule Mzee ilikuwa sometimes mara 2 per day alikuwa haishi kuitisha press conference kutuambia maovu ya Serikali iliopo madarakani. Na kama siku hajaita yeye basi wanapeana zamu na mwenzie aliyekuwa mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (ambaye naye alienda kulia apewe nyumba ya serikali 1) Masaki 2) kwa bei ya kutupa) na of course alipewa na shukran yake ilikuwa kuitisha mikutano pale Gymkana kumkandia huyo huyo aliyetoa ruksa apewe nyumba at the expense of Tax payers.(Ohh how can we forget lile benzi aliloagiza Ujerumani na baada ya kugundua kuwa Mwalimu keshapewa umbea, huyu mkurugenzi mstaafu akaamua kulitumbukiza baharini ili mwalimu asionyeshwe ushaidi !!!!

  Sasa Mama Tibaijuka tunakuomba uache unafiki wa ku pick and chose battles zako ambazo unaonekana huna strategist wa kukusaidia mbinu za kivita.

  Kama kweli unataka tukuone wa maana toa Tamko kuhusu AVALON kama kesho hatujaona babu anaakuja na tathmini ya uchaguzi
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nimesikia kiwanja cha AVALON kimetolewa kwa NYERERE FOUNDATION baada ya mkuu Magogoni kukataa kuruhusu ujenzi wa makao makuu hayo katika eneo lao la zamani eti kwa sababu ya usalama wa Ikulu. Kile kiwanja kilikuwa cha City Council na wamebadilishana na Nyerere Foundation kwa kiwanja chao cha zamani karibu na Ikulu. As it is Mama Tibaijuka has her hands full right now. Tumwache ayashughulikie one at a time otherwise atakuwa amechew more than she can handle.
   
 3. D

  DrMosha Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  What does the City Masterplan say?
  Is this plot an open space or not?
  Lets get the facts right and then advice the Hon Minister
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kiwanja chenye matatizo sugu cha maeneo Rose Garden kule Kijitonyama je, mama umeipitia kwenye mifaili yako??????

  Ukimaliza hapo basi katembelee Shule ya Msingi Kawe ukamwambie Londa akawarudishie hawa Wa-Tanzania wachanga eneo lao halali nao wakapate kucheza mpira. Mama pale shule ya msingi Anan Asif mpaka aibu tupu, nenda tu ukajionee.

  Mama, ulipokua maighaibuni huko sisi tuliweza kujifanyia mabadiliko makubwa sana kimfumo. Hiyo ndio Tanzania halisi isiojali watoto wala maendeleo yao ya kusoma shuli. Kushoto, kulia ni maslahi binafsi tu kwa kwenda mbele!!!!
   
 5. m

  mams JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huwezi kupindua maamuzi ya boss wako wote mkiwa kazini. Vinginevyo huipendi kazi yako
   
 6. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Bite more than she can chew.
   
 7. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Si nguvu ya soda hii?! Huyu mama asitutie matumaini halafu baadaye akaingia mitini....wengi wanaanza hivi baadaye wanafyata. Let's see.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/style/logo.gif
  Ongea bayana, kwanini unaficha ficha na kuweka mafumbo mengi?
  Hatukuelewi unawaongelea watu gani.
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Pale Mango Garden na New Vijana si ni open space iliyotwaliwa na TANU Youth Legue/UVCCM?
   
 10. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  acheni unafki acha mama afanye kazi yake,mafisadi mtakiona,
   
 11. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Unashindwa nini kuwataja hao unaowatuhumu?

  Amandla.....
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mama kasi hii ikijatoweka ghafla!!!

  Si ulituomba wananchi tukusaidia kazi, basi kakinge sikio lako hapa hapa JF utapata kila kero ya ardhi hata kama ungependa kujua ya kule kwetu Kinyanambo C, Mafinga wala usifunge safari bila kupitia kwanza hapa.
   
 13. A

  August JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  mbona maelezo ya jasusi kuhusu hicho kiwana cha avalon kina jieleza vizuri, tatizo naliona lipo ikulu, sababu mahitaji na matatizo yatakayo tokea kwa kubadilisha matumizi ya avalon ni makubwa kuliko hiyo mwl foundation kujenga karibu na ikulu, au wanataka kusema mwl foundation ni ya majasusi? mbona kuna majengo mengi karibu na ikulu na hakuna matatizo iwe ya kijasusi nk, hapa naona ikulu inataka kuitwishwa nyerere foundation dhambi ya avalon halafu mtu wa karibu na ikulu apewe hicho kiwanja kilicho karibu na ikulu unaweza kukuta mke/mtoto/baba anakitaka hicho kiwanja
   
 14. A

  August JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  naona ifike mahali waziri husika aonge na wahusika (ikulu) na wasipo elewaana amwachie wizara yake iongozwe toka ikulu
   
 15. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Yaani nimeshindwa kukufikia ni kushike mkono! Great Thinking! Tatizo ni IKULU na wala sio hawa maofisa ardhi au planners
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa angu kanambia zile nguvu za club soda mama bado hajaonja mabilioni ya kina manji akionja tu kwisha kazi atakuwa anaingilika hata ukiwa na laki 5 unakamata open space
   
 17. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mh watanzania mmeshaanza lawama kama kawaida yenu.me nadhani mngemshauri kwanza kwa kumtajia maeneo hayo lakini nyie mnaanza kwa kuponda,oh sijui kama ataweza oh ajapewa hela yahusuuuu?acheni uswahili toeni ushauri kwanza baada ya muda ndio mtoe maoni yenu.ndio kwanza anawiki kadhaa ofcn mshamponda hivi hata hayo mafaili yote ashayapitia kweli?mh naye ni binadamu matakwa yenu hawezi kuyafanyia kazi kama mnavyotaka.
   
 18. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Weka vitu wazi sio kila mtu anajua unachozungumza, inawezekana hata huyo unayetaka achukue hatua hajui ukisemacho!
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  msipate taabu sana:

  1. Babu mlalamishi ni huyo wa MWALIMU NYERERE FOUNDATION

  2. Mlalamishi mwenzie ni Dr Dr HASSY KITINE ambaye aliwahi kuwa mkurugenzi wa Usalama wa Taifa
   
 20. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Na pale Drive In hapakuwa kweli eneo la wazi? Lakini sheria ya ardhi si imempa Rais mamlaka ya kubadilisha matumizi ya ardhi? Hivi sio yeye ambaye anapelekewa maombi kupitia ardhi na kuyakubali kweli? Prof. Tiba usijekuwa unamshughulikia Ali Hassan Mwinyi, Mkapa na JK bila kujua!!
   
Loading...