Hahahaha! Unamzungumzia Edu. Nyenyere?! Kumbe yule dogo mpuuzi vile?! Hahaha! Nafahamiana nae... kanajifanyaga kana busara alafu smart kinoma kumbe anakula Mapelo?! Hahaha! Yaan wale kwao wote kama wana Laana fulani hivi

Na juc alikuwa alikuwa anambandua muhindi sio mzungu... michezo hiyo wahindi wanayo sana!
Nikupe kituko kimoja... siku moja niko maeneo nikakutana na pisi kali sana ya kihindi nikaanza ujogoo nitupe jiwe yule manzi akawa ananielewa kwa sababu nilianza kusema nae kwa eye-contact.. naona kanalegea baadae akaja karibu yangu nikasema "yesss!... nishashinda" nikasalimiana nae nikaanza sound na kuomba mawasiliano mrembo hakusita akanichana direct kwamba yeye ni Lesbian. Nilichoka

Washkaji wakaniambia siku hizi warembo wengi sana wanashiriki hayo maswala... the same applies to male, wengi machoko na michicha miba.