Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Ukitaka kujua jamii iliyokuzunguka inakujua vizuri mnoo we pata mafanikio halafu wao wabaki kwenye ugumu wao wa maisha, aisee ni wataibuka wachambuzi wa maisha hujawahi ona
 
Ukisema wewe nani mwingine akubishie labda King Kong III
Kwangu mimi kama mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kama Kitenge(Kanga) ni Boflo , Mchicha Mwiba , Mkasi , Wali nazi , Ngapulila , Washeli .

Jamaa ana wake wanne na mimi namjua demu wake mmoja alikuwa daily lazima aje kumuona wakati huo ananyoa kiduku nywele bado zipo kabla hajaanza kuwa na "UWALAZA".

Kwa mazoezi anayofanya kukimbia 21km daily kama mtu ni BOFLO asingeweza.
 
Ngoja nimwite mtaalamu wa hayo mambo cocastic aje atoe ushahidi
 
Kitenge kashakula pensheni ya mkewe mdogo Yule COVID 19 kaenda Kula maisha na mkewe wa US na UK
 
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
We ME au KE? mana co kwa umbea uo aise!!.
 
Huo ni uongo! Kambi za U.T zinafanyikaga hapahapa nyumbani bongo kusikojulikana!

Anayesafiri ni Jasusi au Interpol na hizo level ni kubwa sana!
Kusikojulikana vipi wakati mafunzo yanatolewa Kunduchi, kikuyu mlimani msalato nk.
Mbona sehemu zinajulikana unasemaje hazijulikani!!
 
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Kitenge tulisoma naye MSc mass communication Oxford University 1998 hadi 2000.
Baadae alienda MIT, USA, Kwa ajili ya MBA, na alipomaliza aliajiriwa ITV
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom