Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,915
- 6,609
Kukwepa kodi ni namna monya wapo ya kufanya biashara,ni lazima ujue namna bora ya kuhakikisha unalipa kiwango cha chini kabisa cha kodi..Sio kila kodi inakwepeka,kuna kodi kama payrol taxes na withholding taxes nyingine ambazo hazikwepeki na hazina exemption.Kodi pekee abayo mwekezaji anweza kukwepa ni corporate income tax ambayo kwa Tanzania ni kubwa sana nafikiri ni 30% kwa maana nyingine kuondoka kwa wawekezaji hao kunamaanisha kwamba faida ni ndogo ndo maana inabidi waondoke maana wananona kabisa kwamba kwa viwango vyetu vya kodi na gharama za uendeshaji watakuwa wanatekenyana wenyewe tu.
Kwa ufupi ni kwamba badala ya kufikiria kukusanya kodi lazima serikali ikae na wawekezaji mezani,na kutafuta win win situation.Sio kuwapa STRESS kama mlivowapa Acacia alafu bado tukakosa.
Kwa ufupi ni kwamba badala ya kufikiria kukusanya kodi lazima serikali ikae na wawekezaji mezani,na kutafuta win win situation.Sio kuwapa STRESS kama mlivowapa Acacia alafu bado tukakosa.