Kiwanda cha Tumbaki (TTPL) Morogoro Kufungwa?

Aisee hali sio nzuri kama mambo yenyewe ndio hayo
 
Uchochezi Huu
Wakifunga Ni Jambo La Ajabu Sasa
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi

Maendeleo Hayana Chama
 
Unisahihishe kwani nimetoa takwimu sahihi?
Nnachojua mimi Alliance One wapo "kama" 2300 na TTapL wapo kama 2400.
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakaiz watako athirika na huo utaratibu ni wafanyakazi wa Miataba ya Kudumu na Wafanyakazi wa Mikataba ya Mwaka Mmoja ambao kwa ujumla wao hawafiki 300. Wafanyakazi wa Musimu hwaguswi na hiyo redundacy kwa kuwa kwa kipindi hiki msimu haujaanza kwa hiyo huwezi kuwajumuisha kama ni wafanyakazi kwa kuwa hawapo kazini na miktaba yao haipo hai. Nipo tayari kurekebishwa
 
Habari wakuu,
Kuna habari nimeisikia jioni hii kuwa kiwanda cha tumbaku cha TTPL kilichopo mkoani Morogoro kinatarajia kuwapa redundancy wafanyakazi wake wote wa permanent na wale wa muda mfupi ambao wanazidi 2400/=
Issue ya kufungwa ni gharama ya uendeshaji na masoko. Zimbabwe ni mzalishaji mkuu wa tumbaku baada ya wazungu kuruhusiwa kuchukua mashamba yao makubwa hivyo tumbaku ya Tabora kukosa soko.
Wafanyakazi wote wanaotaka kuendelea na kazi mkataba ni mwaka mmoja moja na mishahara itapunguzwa hadi 50%.
Kama kuna mtu ana taarifa za uhakika njoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi ishawishi watu wake kuvuta sigara, nashangaa maeneo yenye baridi kama Njombe, Makambako, Makete, Mafinga, Tukuyu, Ileje, Mbozi, Mbeya, Tunduma, Arusha, Manyara nk watu hawavuti sana Sigara zaidi ni wazinzi na wanywa pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unisahihishe kwani nimetoa takwimu sahihi?
Nnachojua mimi Alliance One wapo "kama" 2300 na TTapL wapo kama 2400.
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachangany mambo mkuu, hivyo viwanda vyote havina idadi hiyo! Ni hivi hao unaosema 2400 ni seasonal workers ambao wataendelea kuwepo na hawahusianj na hyo redundancy kwa kuwa wao wanafanya kwa season tu(vibarua).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyakaiz watako athirika na huo utaratibu ni wafanyakazi wa Miataba ya Kudumu na Wafanyakazi wa Mikataba ya Mwaka Mmoja ambao kwa ujumla wao hawafiki 300. Wafanyakazi wa Musimu hwaguswi na hiyo redundacy kwa kuwa kwa kipindi hiki msimu haujaanza kwa hiyo huwezi kuwajumuisha kama ni wafanyakazi kwa kuwa hawapo kazini na miktaba yao haipo hai. Nipo tayari kurekebishwa
Huyo jamaa kakurupuka aisee, kachanganya wafanyakazi wa permanent + fixed term na wale wa season ambao ndio wapo hyo idadi 2000+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachangany mambo mkuu, hivyo viwanda vyote havina idadi hiyo! Ni hivi hao unaosema 2400 ni seasonal workers ambao wataendelea kuwepo na hawahusianj na hyo redundancy kwa kuwa wao wanafanya kwa season tu(vibarua).

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali umsaidie na baada ya kumwambie amerudi kwa aliyempa taarifa zushi ili aje kusahihisha
 
Huyo jamaa kakurupuka aisee, kachanganya wafanyakazi wa permanent + fixed term na wale wa season ambao ndio wapo hyo idadi 2000+

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa kumwambia tu hata angelikuwa ni yeye kwa jinsi hali ilivyo lazima utaopt kwenye hii Model ya Employment kuliko hiyo ya Nyuma ya Permanent Contract Mode. Ukingalia vizuri renewable contractula way of employment mfanyakazi anakuwa na ufanisi kuliko hiyo ya zamani. Pia ni Cost cutting sana kwa hiyo they have to accept ukiangalia trend ya Zao la Tumbaku plus Politica engagement
 
Tuko kwenye right track. Wakiondoka tutavuta wenyewe tumbaku zetu. Hao ni mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Kila mtanzania tuseme apige fegi mbili tu daily!!!! Si mzigo wote wa tumbaku Nchi nzima tutakuwa tumeupuliza!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waende tu mabeberu!!! Tumbaku tutavuta sisi wenyewe !!!! [emoji36][emoji36]🤧🤧[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wakuu,
Kuna habari nimeisikia jioni hii kuwa kiwanda cha tumbaku cha TTPL kilichopo mkoani Morogoro kinatarajia kuwapa redundancy wafanyakazi wake wote wa permanent na wale wa muda mfupi ambao wanazidi 2400/=
Issue ya kufungwa ni gharama ya uendeshaji na masoko. Zimbabwe ni mzalishaji mkuu wa tumbaku baada ya wazungu kuruhusiwa kuchukua mashamba yao makubwa hivyo tumbaku ya Tabora kukosa soko.
Wafanyakazi wote wanaotaka kuendelea na kazi mkataba ni mwaka mmoja moja na mishahara itapunguzwa hadi 50%.
Kama kuna mtu ana taarifa za uhakika njoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi.
 
Back
Top Bottom