Kiwanda cha Tumbaki (TTPL) Morogoro Kufungwa?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,168
Habari wakuu,

Kuna habari nimeisikia jioni hii kuwa kiwanda cha tumbaku cha TTPL kilichopo mkoani Morogoro kinatarajia kuwapa redundancy wafanyakazi wake wote wa permanent na wale wa muda mfupi ambao wanazidi 2,400.

Issue ya kufungwa ni gharama ya uendeshaji na masoko. Zimbabwe ni mzalishaji mkuu wa tumbaku baada ya wazungu kuruhusiwa kuchukua mashamba yao makubwa hivyo tumbaku ya Tabora kukosa soko.

Wafanyakazi wote wanaotaka kuendelea na kazi mkataba ni mwaka mmoja moja na mishahara itapunguzwa hadi 50%.

Kama kuna mtu ana taarifa za uhakika njoo.
 
Huna jina unaitwa nani
Habari wakuu,
Kuna habari nimeisikia jioni hii kuwa kiwanda cha tumbaku cha TTPL kilichopo mkoani Morogoro kinatarajia kuwapa redundancy wafanyakazi wake wote wa permanent na wale wa muda mfupi ambao wanazidi 2400/=

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minijua wameshakifunga kumbe bado tu

wahame tuwape jeshi mitambo wabangulie korosho
 
hizi taarifa ni porojo maana tangu wazungu hawajafukuzwa kiwanda kilikuwepo na goro lilikuwa linalimwa tz na kuuzika

sema naona uzalishaji wa goro umeshuka sana kwa sababu za kimazingira na sio wazungu kurudi zimbabwe.

Sababu itakua nyingine (hasa uchumi kuyumba na mazingira magumu kwao ) sio wazungu kurudi zimbabwe
 
Oii mkuu serikali ya mkuu jiwe ilikufanyeje...

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji41] [emoji116]
FB_IMG_1538905111513.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikusahihushe hichokiwanda hakina idadi hiyo ya wafanyakazi. .....

Back
Top Bottom